Dah Jamii forum kwi kwi kwi kwiiiii kwiiiiiiiiiiwe toa salamu tu,kisha subiri uruhusiwe kukaa kwenye kiti waanze kukutwanga nondo...hizo mbwembwe nyengine subiri ukienda kwa wakwe!
marks kwa handshake??? mimi ni professional HR hakunaga marks kama hizo, kwenye interview tunapima 3Cs...Competence, Confidence na Communication skillsNimeitwa kwenye interview kesho asubuhi na mapema.
Nahitaji kujua kwamba je kuna umuhimu wowote wa kutoa handshake baada ya kufungua mlango na kuingia ndani, na kukutana na interviewer?
Na usipotoa handshake, ukatoa salamu kwa mbali tu, je itakupunguzia marks?
Mawazo yenu waungwana....
mkuu kama hutojali ebu naomba ufafanue kidogo hizo 3 Cs...yani ni kwa vipi mnapima hiyo Competence,Confidence na Communication Skills?marks kwa handshake??? mimi ni professional HR hakunaga marks kama hizo, kwenye interview tunapima 3Cs...Competence, Confidence na Communication skills
nipe email yakomkuu kama hutojali ebu naomba ufafanue kidogo hizo 3 Cs...yani ni kwa vipi mnapima hiyo Competence,Confidence na Communication Skills?
I mean ni vitu gani huwa wanaangalia hasa kudetermine kama wewe ni competent,confident na unayo iyo communication skill?
SHORTLY,mkuu kama hutojali ebu naomba ufafanue kidogo hizo 3 Cs...yani ni kwa vipi mnapima hiyo Competence,Confidence na Communication Skills?
I mean ni vitu gani huwa wanaangalia hasa kudetermine kama wewe ni competent,confident na unayo iyo communication skill?
nshakupm email yng mkuunipe email yako
Watu kama nyinyi ni wa muhimu sana kwenye hili jukwaa.SHORTLY,
Competence:
are you aware about job description about that particular Job?
do you know about organization you want to work for?
Confidence:
are you sure of what you speaking for?
hapa mzee wakikuuliza swali kama haujui jibu ts better ukakaa kimya kuliko ukadanganya.
Communication:
here we look on inter-personal and intrapersonal skills
Asante Mkuu kwa kutupa ufahamu.SHORTLY,
Competence:
are you aware about job description about that particular Job?
do you know about organization you want to work for?
Confidence:
are you sure of what you speaking for?
hapa mzee wakikuuliza swali kama haujui jibu ts better ukakaa kimya kuliko ukadanganya.
Communication:
here we look on inter-personal and intrapersonal skills
poa aisee ntakutumia..sorry jana nilishindwa nilikuwa busy kidogonshakupm email yng mkuu
all the best mkuuAsante Mkuu kwa kutupa ufahamu.
Nimefanya, hakukuwepo na haja ya handshake. So, ninawasubiri kwa ajili ya 2nd round endapo ntabahatika kuitwa.
asante mkuuWatu kama nyinyi ni wa muhimu sana kwenye hili jukwaa.
thanks mkuuWatu kama nyinyi ni wa muhimu sana kwenye hili jukwaa.
Watu kama nyinyi ni wa muhimu sana kwenye hili jukwaa.
Hakuna marks za hivyo kwy professional interviews labda kama ni waiter, housekeeper etc
No, ni marketing manager hotel flan HV...
Yes, I know first impression is very important, but I've seen most of the hiring managers don't like to bother with hands. Remember, you've left more than 50 outside need to be interviewed. So, I don't think kma ina uzito sana.Marketing without handshake? I see!