Handshake is infectious, fist bump is not.

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
909
Wana JF leo nilikuwa offended na nilihisi kudharauliwa sana.Nimekutana na mdada mmoja hapa quality plaza nimesoma naye Chuo Tumaini.niliachana naye miaka 3 iliyopita na yeye alikuwa Nertheland akisoma masters,huyu mdada ana sifa kuu tatu,,,ana akili za darasani, ni mzuri halafu ni sister du.Ile kukutana naye tu bahati wote tulitambuana na kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpa mkono kumsalimia,,,,alichofanya ni kukunja ngumu basi na mimi nikakunja ngumu hapohapo tukagonga.Nikamuulizea ndo style za uholanzi za kusalimiana nn,,,akasema no handshake is infectious, fist bump is not. Nikiwa njiani nilifikiria sana kitendo nilichofanyiwa na huyu dada na kuhisi kama ameniona mimi mchafu sana au ni kitu gani au kwa kuwa yeye amekaa ulaya sijui.Bahati mbaya nilikuwa na mke wangu, mke wangu akanimbia kuwa wanawake wengi siku hizi hawasalimii kwa mikono hasahasa wanaume coz wanaume wengi wakitoka toilet huwa hawaoshi mikono. Huyu mdada najua ataisoma hii post na wengine wote wenye tabia hii,,,,,ajue kuwa I was embarrassed sana kwa kitendo cha kuniambia handshake is infectious ina maana tayari alishaform opinion kuwa mi mikono yangu ina bactreri.Jamani najua kusoma tumesoma na kuelimika lakini twendeni taratibu jamani coz hii ni dharau sasa.
 
Pole sana mkuu, tena in front of my wife wako jamani!
 
Dah..dharau sana hiyo,huyo kakudharau ,salam handshaking ni ishara ya ustaarabu duniani kote,hata obama alimpa muheshimiwa mkono-pili huyo dada ni limbukeni wa maisha kaenda tu switzerland dharau kibao..akienda USA si atabadilisha hadi kabila?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
What is not infectious nowadays? Doorknobs, tables, air, water, what?

Si bora kuwa na hand sanitizers kwenye mikoba incase unataka kujitoa germs.
 
mkuu umenifanya nijisikie kutapika maana umenikumbushe jamaa mwenye tabia ya kukuna pumbu alipomegea chungwa
 
Dah..neno P.__u.__m mods hawajaliona mkuu?fanya edition kabla hawajakuja!!au inaruhusiwa?kwa sababu ni kiungo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umenikumbusha story moja ya sista flani hivi...kaenda south africa na baada ya miezi sita akarudi bongo, nilikutana nae kwenye mizunguko yangu, baada ya kusalimiana na kidhungu changu cha kuungaunga, nilivyoanza kubadilisha lugha(maana mdomo ulishachoka kuongea kidhungu kwa dk5) akaniambia, samahani bora tuongee kidhungu manake yeye hawezi kuongea kiswahili vizuri..dah! nilichokaaa...
 
Wana JF leo nilikuwa offended na nilihisi kudharauliwa sana.Nimekutana na mdada mmoja hapa quality plaza nimesoma naye Chuo Tumaini.niliachana naye miaka 3 iliyopita na yeye alikuwa Nertheland akisoma masters,huyu mdada ana sifa kuu tatu,,,ana akili za darasani, ni mzuri halafu ni sister du.Ile kukutana naye tu bahati wote tulitambuana na kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpa mkono kumsalimia,,,,alichofanya ni kukunja ngumu basi na mimi nikakunja ngumu hapohapo tukagonga.Nikamuulizea ndo style za uholanzi za kusalimiana nn,,,akasema no handshake is infectious, fist bump is not. Nikiwa njiani nilifikiria sana kitendo nilichofanyiwa na huyu dada na kuhisi kama ameniona mimi mchafu sana au ni kitu gani au kwa kuwa yeye amekaa ulaya sijui.Bahati mbaya nilikuwa na mke wangu, mke wangu akanimbia kuwa wanawake wengi siku hizi hawasalimii kwa mikono hasahasa wanaume coz wanaume wengi wakitoka toilet huwa hawaoshi mikono. Huyu mdada najua ataisoma hii post na wengine wote wenye tabia hii,,,,,ajue kuwa I was embarrassed sana kwa kitendo cha kuniambia handshake is infectious ina maana tayari alishaform opinion kuwa mi mikono yangu ina bactreri.Jamani najua kusoma tumesoma na kuelimika lakini twendeni taratibu jamani coz hii ni dharau sasa.

sasa si ungemwambia yeye mwenyewe??

kwani ni lazima kupeana mikono?? au ndio kulazimisha watu wafanye unavyotaka

i dont mind anipe mkono, hug au nothing as long as tumesalimiana inatosha

tunapenda sana kucomplicate our lives
 
Infectious ina maana nyingi. hii ya kuambukizana bacteria ni moja nyingine ni unintended intentions-kama kumkwaruza mtu uliyempa mkono kwa kidole chako cha shahada wakati mmeshikana mikono.
 
uploadfromtaptalk1374346375945.jpg
 
huyo dada mshamba tu
ulaya gani hawashikani mikono? hata ukingia kwa daktari huku lazima akushike mkono ajitambulishe jina
then ndio anaanza kukusikiliza.
salamu ya mkono ni ya heshima hasa kwa watu hamjaonana siku nyingi
cha muhimu unawe mikono kabla hujala kitu.
Huyo mshamba narudia tena ni mshamba wa kutupwa.
wala usikasrike ndugu labda bongo washakariri hivo.
 
Wana JF leo nilikuwa offended na nilihisi kudharauliwa sana.Nimekutana na mdada mmoja hapa quality plaza nimesoma naye Chuo Tumaini.niliachana naye miaka 3 iliyopita na yeye alikuwa Nertheland akisoma masters,huyu mdada ana sifa kuu tatu,,,ana akili za darasani, ni mzuri halafu ni sister du.Ile kukutana naye tu bahati wote tulitambuana na kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpa mkono kumsalimia,,,,alichofanya ni kukunja ngumu basi na mimi nikakunja ngumu hapohapo tukagonga.Nikamuulizea ndo style za uholanzi za kusalimiana nn,,,akasema no handshake is infectious, fist bump is not. Nikiwa njiani nilifikiria sana kitendo nilichofanyiwa na huyu dada na kuhisi kama ameniona mimi mchafu sana au ni kitu gani au kwa kuwa yeye amekaa ulaya sijui.Bahati mbaya nilikuwa na mke wangu, mke wangu akanimbia kuwa wanawake wengi siku hizi hawasalimii kwa mikono hasahasa wanaume coz wanaume wengi wakitoka toilet huwa hawaoshi mikono. Huyu mdada najua ataisoma hii post na wengine wote wenye tabia hii,,,,,ajue kuwa I was embarrassed sana kwa kitendo cha kuniambia handshake is infectious ina maana tayari alishaform opinion kuwa mi mikono yangu ina bactreri.Jamani najua kusoma tumesoma na kuelimika lakini twendeni taratibu jamani coz hii ni dharau sasa.
Uzuri ni kwamba alikutana na wrong person,watu tuna ndugu zetu wanatoka England wakifika home na mbege ya kupokezana wanagonga itakuwa huyo mdwanzi,wewe ulitakiwa kumpa kitu chochote ulichokishika mkononi ndo agongeshe na huo mkono wake
 
Back
Top Bottom