Ndio ndio, zina vibali vyote na zimethibitishwa pia ndugu, karibu.Zimethibitishwa na TBS?
Ukizoom utaona vizuri nembo ya uthibitisho ndugu.Zimethibitishwa na TBS?
alcohol percentage ngap??
Pata hand sanitizer kwa gharama nafuu, unaletewa popote ulipo ndani ya Dar. Mikoani tunatuma pia
Prices ni kama unavoona kwenye jedwali.
Contact me Direct : 0674535975
Order as many as you want and get a discount.View attachment 1405727View attachment 1405728
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2] haya mkuu , ila karibu uongezee zaidi.Mi ninazo na nimeshakunywa vijiko viwili na kupaka mwilini asubuhi hii kabla ya kutoka nyumbani.
75% isopropyl alcohol and other have ethanol (ethyl alcohol)alcohol percentage ngap??
Hivi inakuaje MSD anatuuzia lita 5 kwa elf 85, na wewe unauza lita 5 kwa elf 45? zinalingana uwezo?
Hivi inakuaje MSD anatuuzia lita 5 kwa elf 85, na wewe unauza lita 5 kwa elf 45? zinalingana uwezo?
Sent using Jamii Forums mobile app