Hana bikra hana mtoto ,muuwaji huyo.

Kwahiyo uzi woteee huu ni kutetea SINGO MAZA?

#YNWA
 
vipi kuhusu wapiga nyeto!!?. wazee wa "raha jipe mwenyewe"...
watu wanaflash hundreds millions of their generations kweny vyoo daily...
 
Mbona hamueleweki wanaume nyie! Wenye watoto mnaita single moms na hawafai, wasio na watoto pia ni wauwaji dah. Kwani si kuna njia kibao za kuzuia ujauzito why waitwe wauaji sasa?
 
Mbona hamueleweki wanaume nyie! Wenye watoto mnaita single moms na hawafai, wasio na watoto pia ni wauwaji dah. Kwani si kuna njia kibao za kuzuia ujauzito why waitwe wauaji sasa?
Sieleweki mimi tu wengine wanaeleweka ndio maana hawataki kabisa kusikia habari ya single mothers,Je unafikiri mimba hazitolewi kwasababu kuna njia kibao za kuzuia?
 
Sieleweki mimi tu wengine wanaeleweka ndio maana hawataki kabisa kusikia habari ya single mothers,Je unafikiri mimba hazitolewi kwasababu kuna njia kibao za kuzuia?
Sawa inawezekana zinatolewa ila kutokua na mtoto haimaanishi labda huyo mtu ametoa or huwa anatoa mimba kuna njia za kuzuia, pia kuwa na mtoto haimaanishi sana kwamba huyo mtu hakutoa mimba zingine before. Mi nadhani tusigeneralize hapo. Si kweli kwamba asiye na mtoto na si bikra basi ni muuaji🤔
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…