ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 639
Ngoja Jokajeusi aje😂😂😂Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.
uyo singo maza kachoropoa 9 kaachia iyo moja, unamwona mwemaorona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu
Kuna binti tuna undugu/mama wa marehemu wasio na idadi kwa mwaka jana tu tulikutana mara nne na tatu kati yazo alikuwa amefanya abortion🤔 aisee waoaji mna shughuli pevu
Yani ana matukio ya kuogofya, mojawapo ni kutumia ndumba kuvuta wanaume wenye pesa wamuhonge, kuchomoa mimba pasipo aibu wala hofu na wanaume kawapanga na akichomoa wote wanapigwa pesa ya kuchomolea mimba🙆So scary, njemba inajipinda kutia mimba kumbe kizazi kilishajifia miaka mingi!!!
Kwahiyo tunarejea huzunini tenaJamaa kagoma kufa🤣🤣🤣🤣
Ni hali ya majonzi ambayo haielezeki😭😭😭😭Kwahiyo tunarejea huzunini tena
Wacha tuzidishe maombiNi hali ya majonzi ambayo haielezeki😭😭😭😭
Tunaowa bint tutaemkuta home , Hana mtoto not more than 6 months since graduation povu ruksaHooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.
Hivi akifa atakuachia uhai wake?Nachojiuliza mbona mambo bado ni kimya? Inamaana hafi?
Duuu huyu ni wakala wa shetani,Ila watoa mimba wengi huwa wanachangisha wanaume wao wote,Kama anao kumi atakusanya kuanzia 1.5M mpaka 2MYani ana matukio ya kuogofya, mojawapo ni kutumia ndumba kuvuta wanaume wenye pesa wamuhonge, kuchomoa mimba pasipo aibu wala hofu na wanaume kawapanga na akichomoa wote wanapigwa pesa ya kuchomolea mimba
Oeni bikra au single motherKwahyo tunafanyaje mkuu,, tusioe au?
Huko skuli/chuo unajua alichomoa ngapi?Tunaowa bint tutaemkuta home , Hana mtoto not more than 6 months since graduation povu ruksa
Shali kamili Ila nazungumzia form four,Huko skuli/chuo unajua alichomoa ngapi?