ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 638
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.