Hana bikra hana mtoto ,muuwaji huyo.

ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
948
638
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.
 
Ng

Ngoja Jokajeusi aje😂😂😂
 
Kuna binti tuna undugu/mama wa marehemu wasio na idadi kwa mwaka jana tu tulikutana mara nne na tatu kati yazo alikuwa amefanya abortion🤔 aisee waoaji mna shughuli pevu
 
So scary, njemba inajipinda kutia mimba kumbe kizazi kilishajifia miaka mingi!!!
Yani ana matukio ya kuogofya, mojawapo ni kutumia ndumba kuvuta wanaume wenye pesa wamuhonge, kuchomoa mimba pasipo aibu wala hofu na wanaume kawapanga na akichomoa wote wanapigwa pesa ya kuchomolea mimba🙆
 
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.
Tunaowa bint tutaemkuta home , Hana mtoto not more than 6 months since graduation povu ruksa
 
Yani ana matukio ya kuogofya, mojawapo ni kutumia ndumba kuvuta wanaume wenye pesa wamuhonge, kuchomoa mimba pasipo aibu wala hofu na wanaume kawapanga na akichomoa wote wanapigwa pesa ya kuchomolea mimba
Duuu huyu ni wakala wa shetani,Ila watoa mimba wengi huwa wanachangisha wanaume wao wote,Kama anao kumi atakusanya kuanzia 1.5M mpaka 2M
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom