Wewe bwashee unaamini Tanzania kuna wapinzani?
Shida hawa wapinzani hawana ubongo, akitokea mwanaccm anapingana na ccm yake wanakuwa upande wao bila kujua nini kitachofata, sasa kipindi kile kuna wanaccm(mfano: lipumba) walikuwa upande wao wakawashawishi wasusie, na wao kama manyumbu wakasusaBaadhi ya wapinzani ni mazuzu/manyumbu, saaizi wanataka tume huru ya uchaguzi sasa iyo tume unaipata kwa katiba ipi wakati katiba iliyopo inampa rais aliyepo nguvu za kimaamuzi katika mambo mengi?
Wakati wa mchakato wa katiba baadhi ya wapinzani walisusia ukiangalia walicho pinga ni aina ya serikali kwamba ziwe tatu, kwenye mapendekezo ya katiba ile ivyo wanavyo dai kwa sasa vingi vilikuwemo. sasa kwa nini wasinge iunga mkono katiba iliyopendekezwa alafu waje waifanyie tena mabadiliko ya aina za serikali watakazo wakatiuo pengine wangekua madarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnataka nani awape tume huru?Una hoja nzuri lakini utambue kwamba kilicho mbele yetu ni uchaguzi , tumeomba tume huru kwa vile hii tunaamini itatenda haki ambayo itapunguza hata hizo kesi za uchaguzi mahakamani , hiyo katiba mpya kikwazo chake ni ccm , tukiletewa tume huru hii ccm itang'olewa bila huruma na hatimaye Katiba mpya itakuja na Heshima ya Mahakama itarejea
Unataka tume huru miezi mitano kabla uchaguzi!!Una hoja nzuri lakini utambue kwamba kilicho mbele yetu ni uchaguzi , tumeomba tume huru kwa vile hii tunaamini itatenda haki ambayo itapunguza hata hizo kesi za uchaguzi mahakamani , hiyo katiba mpya kikwazo chake ni ccm , tukiletewa tume huru hii ccm itang'olewa bila huruma na hatimaye Katiba mpya itakuja na Heshima ya Mahakama itarejea
Baadhi ya wapinzani ni mazuzu/manyumbu, saaizi wanataka tume huru ya uchaguzi sasa iyo tume unaipata kwa katiba ipi wakati katiba iliyopo inampa rais aliyepo nguvu za kimaamuzi katika mambo mengi?
Wakati wa mchakato wa katiba baadhi ya wapinzani walisusia ukiangalia walicho pinga ni aina ya serikali kwamba ziwe tatu, kwenye mapendekezo ya katiba ile ivyo wanavyo dai kwa sasa vingi vilikuwemo. sasa kwa nini wasinge iunga mkono katiba iliyopendekezwa alafu waje waifanyie tena mabadiliko ya aina za serikali watakazo wakatiuo pengine wangekua madarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya wapinzani ni mazuzu/manyumbu, saaizi wanataka tume huru ya uchaguzi sasa iyo tume unaipata kwa katiba ipi wakati katiba iliyopo inampa rais aliyepo nguvu za kimaamuzi katika mambo mengi?
Wakati wa mchakato wa katiba baadhi ya wapinzani walisusia ukiangalia walicho pinga ni aina ya serikali kwamba ziwe tatu, kwenye mapendekezo ya katiba ile ivyo wanavyo dai kwa sasa vingi vilikuwemo. sasa kwa nini wasinge iunga mkono katiba iliyopendekezwa alafu waje waifanyie tena mabadiliko ya aina za serikali watakazo wakatiuo pengine wangekua madarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro kwamba na harakati zako miaka kede kwa kede hujajua wapinzani wetu tu? Wanasiasa wameshafeli, wananchi wenyewe ndio watakuja kuibadili hii nchi.Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.
Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.
Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.
Swali kwa upinzani
Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?
In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?
Sent using Jamii Forums mobile app