Hamu ya mapenzi na hasira!

Mabwaku week tu.... Je mkeo akijifungua si utaenda kununua?

Jamani hili la mke kujifungua tuliacheni tu! Nahisi ni siri ya kila mwanaume alipitaje kipindi hiki, sitaki hata kukumbuka.

Mwanamke amekuwa kisirani (eti mimba haikupendi), toka akiwa na miezi saba mtu hujapewa mashine, ukipulizia pafyum anatapika (na umeme wenyewe huu full kunuka mijasho ofisini), ukimpigia sm hapokei usipopiga humpendi, ukiwahi kurudi nyumbani anakununia ukichelewa unatafuta malaya kisa yeye kachoka, hamna jema analoongea zaidi ya matatizo na lawama, yaani!!!aaaah siandiki hata mengine...
 
Usijiendekeze wiki tuu jamani usije nunua papuchi tu utakua shakani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nyege mbaya!
Nyege wazimu mkuu,yan kama mashetani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nilidhani ni yeye mwenyewe kumbe wapo wengi. Wataalam wa haya mimambo leteni msaada wa kutosha kwa hili jambo hasa kwa wanaume maana sijui kwa wanawake.

Mkuu hili ni janga la kitaifa sema wadau hawasemi ukweli tu!au labda wana njia mbadala


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hapo kaka KAZI NA DAWA TU MAMBO MKIDE ATI...!
 
na wewe una malizaje wiki bila kupiga kitu!!au una mke mmoja?
 
true..I have evidence from many people (at work, mtaani and hme)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…