Wala sio tatizo la kisaikolojia,hiyo ni nature ya mwanadamu yeyote coz Mungu amemuumba mwanadamu kuwa na tamaa ya kuwa na waoto na kujenga familia yenye furaha,sema hapo swala ni lako wewe mwenyewe unasubiri nini kuzaa?Mbona umri wako unaruhusu au hata kuoa hujaoa?Tafakari chukua hatua.
kongosho thanks alot for your advice
blue cjaoa ndugu yangu inatokana na kwamba niliyapa mapenzi kisogo after being heart broken..... n i always wish mwanangu apate malezi ya pande mbili which means i have to marry... sasa nani wakuwa mzazi mwenza ndo ambapo tatizo linaanzia.
Hamu ya watoto huja, mie it started when I was 23, yaani nilikuwa natamani hadi basi
Kwa hiyo ni kawaida kabisa, sasa hivi walivyowasumbufu, huwa natamani kuwauza🙂
bonge la ushauri thanks mdauAiseee pole sana kwa kuumizwa lakini hivyo ndivyo maisha yalivyo kuanguka,kujifuta vumbi na kisha kusonga mbele,kwa hiyo yape kisogo mawazo yako ya kuumizwa anza kumsaka mama wa watoto wako kwa umakini zaidi na hakiak utampata mpaka usiamini,ila bila kumsahau kumshirikisha muumba wako hangaikkio lako.
hope they are making you happy sana than usumbufu when t comes to comparison
Hamu ya watoto huja, mie it started when I was 23, yaani nilikuwa natamani hadi basi
Kwa hiyo ni kawaida kabisa, sasa hivi walivyowasumbufu, huwa natamani kuwauza[/🙂QUOTE]
kama una twins niiuzie basi, jamani natamani twins sana jamani uwiiii

tena hao ndo mwisho wa mchezo i think nikiwapata ndo na hustling itaongezeka