Hamu ya kufanya mapenzi na walionizidi umri

Mkuu endelea kujifaidia tu.....
Hao sio wasumbufu na papuchi wanatoa yote.... Mwendo wa sitaki nataka hawana.
 
Kama una ugonjwa nao tabu ya nini mkuu?

Pata raha za dunia
 
wewe mtoto ,mwogope Mungu kwanza mwombe Mungu akuepushe na Hilo SI mambo zuri hasa mama ujaoa
Mimi nikajua utamsaidia.
Basi nisaidie mimi, nina tatizo kama la huyo hapo juu, wananiridhisha wamama wa aina ya avatar yako.
 
Mwoga tu kuwaambia anachokitaka. Wasichana mpaka uwapige sound kali tena ya big pipe. Mijimama hiyo na mijidada hiyo mengi hujitafutia vijiserengeti boys. Kama huyu aliwahi kukumbwa na hayo majitu, utadhani kaingiwa na jini kumbe ni ule mteremko tuu, gear yako ni neutral tuuuu mpakaaaaa. Ndo maana hana hamu nao wasichana wa rika lake
 
Laana hiyo, hilo tatizo watoto wa div5 mnalo sn, magazeti ya udaku yamejaa matsngazo ya vijana wadogo kutangaza kuwa wanatafuta mijimama mizee ya kuwalea, nyambafu
 
Mkuu endelea kujifaidia tu.....
Hao sio wasumbufu na papuchi wanatoa yote.... Mwendo wa sitaki nataka hawana.
Nataka nibadili muelekeo mkuu
Mimi nikajua utamsaidia.
Basi nisaidie mimi, nina tatizo kama la huyo hapo juu, wananiridhisha wamama wa aina ya avatar yako.
Siyo tatizo mkuu usiogope
Mwoga tu kuwaambia anachokitaka. Wasichana mpaka uwapige sound kali tena ya big pipe. Mijimama hiyo na mijidada hiyo mengi hujitafutia vijiserengeti boys. Kama huyu aliwahi kukumbwa na hayo majitu, utadhani kaingiwa na jini kumbe ni ule mteremko tuu, gear yako ni neutral tuuuu mpakaaaaa. Ndo maana hana hamu nao wasichana wa rika lake
Wasichana Pasua kichwa mkuu
Laana hiyo, hilo tatizo watoto wa div5 mnalo sn, magazeti ya udaku yamejaa matsngazo ya vijana wadogo kutangaza kuwa wanatafuta mijimama mizee ya kuwalea, nyambafu

Mada hujaielewa mkuu?
 
Nenda kwa mganga wa kienyeji atakupa dawa ya kuyapata majidada na majimama
 
Habari wanna MMU

Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua.

Wasichana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa.

Angalia usije ukavamia mke wa mtu badala yake wakakula 0655 yako maana soku hizi balaa kijana
 
Laana hiyo, hilo tatizo watoto wa div5 mnalo sn, magazeti ya udaku yamejaa matsngazo ya vijana wadogo kutangaza kuwa wanatafuta mijimama mizee ya kuwalea, nyambafu

Wanapenda vya mteremko! Vitawatokea puani
 
huna lolote unapenda dezo tu...ndo nyie ukishamaliza shughuli unaomba ulipiwe na luku mscheeew!
 
Wanapenda vya mteremko! Vitawatokea puani
Sio mteremko, nyie wadada hamjitumi, ni wavivu kitandani.
Unamwambia binuka hivi utasikia.. mi hivyo siwezi, mi mama inakupa mashine unabandua staili yoyote mpaka unajamba, halafu mengi hawako after money, liko ili ulistareheshe, ndiyo maana linakupa yote. Kesho huoni please recharge me wala nini.
 
Back
Top Bottom