Hamtaweza kusingizia Chadema mapungufu yenu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,957
Viongozi wa CHADEMA wote walikuwa mahabusu sasa wanahaha kusingizia CHADEMA wakati hata hawakuwepo.

Vijana wamefanya maandamano kutokana na hasira zao. Heche hakuwa hata na simu, Lissu hakuwa hata na simu. Wizi wa kura na kufanya mambo fake ni matatizo yenu sio Heche
 
Heeeeeh! Sio wageni wa nchi jirani tenaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Ila kama ni zile zile akili zilizoibia kura ndio wanaendelea nazo, basi tena.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Heeeeeh! Sio wageni wa nchi jirani tenaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Ila kama ni zile zile akili zilizoibia kura ndio wanaendelea nazo, basi tena.
Ni CHADEMA ndiyo wamesababisha yote haya. Kuhusu wageni, mheshimiwa alipitiwa tu bahati mbaya na usingizi wakati anatamka.
 
Ni CHADEMA ndiyo wamesababisha yote haya. Kuhusu wageni, mheshimiwa alipitiwa tu bahati mbaya na usingizi wakati anatamka.

Aaah kuna mambo hata shetani anaogopaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…