Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Ukiwa na laana huwezi fanikiwa katika maisha yako na kila utachofanya /utachojaribu kufanya utaishia kufeli tu mpaka pale utakapokiri makosa yako na kutubu.
Kuna watu laana inawatafuna na hawatafanikiwa bali wataishi kufeli katika kila jambo na watajikuta wanaandamwa na mikosi kila kukicha.
Nyie angalieni tu mambo yanavyowaendea wala haihitaji darubini kuona haya nayosema.
Kila tawi wanaloshika/wanalojaribu kushika ama linakatika au wanatereza na soon watatua ardhini wakiwa hoi bin taabani na majeraha tele.