Jackson matthew Senior Member Joined Jun 26, 2026 Posts 156 Reaction score 342 Tuesday at 11:45 AM #1 Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,374 Reaction score 14,860 Tuesday at 12:03 PM #2 Hamna bahati kwenye maisha yako, ila kwa sisi wengine bahati tumekutana nazo
Optimists JF-Expert Member Joined Oct 17, 2021 Posts 436 Reaction score 1,299 Tuesday at 12:15 PM #3 Watu wana bahati mzee acha kabisa, sisi waomba Mungu ndio inabidi tukaze
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,800 Reaction score 9,136 Tuesday at 12:29 PM #4 Bahat ipo kaka watu wanavismat Balaa