Hamkani si shwari tena (no longer at ease)

Kwani keshajifunguaaaa mtoto kafanana na nani
 
.kwani ile mimba ya anco wake haijaharibika ...?
 
Zijapopita nyakati za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako
 
Tatizo linaoekana hata kwenye picha dada tabasamu lake sio ila kaka alipenda na aliifurahia ndoa, Mbasha hakumpa mkewe uhuru kila mahali kuambatana, na usiku mbanane saa ingine mwanamke anataka uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…