Wewe ndiye ulikuwa nke ndogo wa yule dhalim? Mbona povu kama umefakamia omo?Dah mpaka unakera wewe shetani!!
Kuukosa ubunge basi ni wewe na marehemu wakati wote!!
KENGE WA KIKE
View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
Huyu alipaswa kupewa kihalali kabisa!Kishimba akili kubwa Ana akili za kuzaliwa nazo...
Darasa la 7 lakini amesimamia biashara kubwa na hakutetereka
Akiongea anaongea kwa hoja
Ila hao wengine wapiga kelele tu
Ova
Ya samia inaonekana nini?Ya Samia inaonekana kabisa ila ya hawa jamaa, kina Jafo hapana
CCM tumeambua kuumbuana siyo !!Hahaha...... Bungeni kumenoga!
Tanzania tumekuwa na wanasiasa malimbukeni wanaotamani sifa wasizikuwanazo. Kila mtu anaamini ili uwe rais lazima uwe na Phd hivyo zitafutwa kwa gharama yoyote. Mwanzilishi wa mchezo huu alikuwa ni Kikwete jakayaYa Samia inaonekana kabisa ila ya hawa jamaa, kina Jafo hapana
Ya Samia inaonekana kivipi??Ya Samia inaonekana kabisa ila ya hawa jamaa, kina Jafo hapana
Haya mambo huwa mnayasikia wapi?***** hata ubunge wa tale nasikia ni damu ya mkewe huyu jamaa ana roho za kigaidi sana
USSR
Hivi hao "wanaozawadiwa" hizo PhD za mchongo, ni kwanini hawajiulizi, Mwalimu Nyerere na Masters degree yake ya darasani ya Oxford University ya miaka Ile ya 50, hakutaka kabisa kuitwa Dkt pamoja na kukaa madarakani Kwa miaka zaidi ya 23 mfululizo?😎TCU waingilie kati hawa watu wasiruhusiwe kutumia title ya Dr, wanashusha hadhi ya taaluma, wanaleta sintofahamu kwenye jamii na kusababisha fedheha kwa wasomi. Kuna wasomi wazuri kabisa waliobobea, sababu wana Masters hawawezi kutumia title ya Dr. Lakini hawa vihiyo wa std. seven wanaruhusiwa kutumia title ya Dr. kirahisi rahisi tu kisa ni wabunge. Kwa kweli nadhani kama spika ameliongelea hili, TCU wajitafakari.....
Waambie ukweli hawa mapimbi wa ccm!Narudia hapa USA mfano haya mambo hayatokei kwasababu hakuna mtu anajali kama una PHD au hauna. PHD sanasana inasaidia watu ambao wanataka kuwa walimu na kuna watu nafanya nao kazi wana PHD wala hakuna mtu anawachukulia tofauti hivyo. Tanzania ni kwamba tunakuza sana hizi PHD ndiyo maana wanajadiliwa. PHD hata za sheule ni utafiti tu na mara nyingi haina uhusiano kabisa na kazi au utendaji. Magufuli alishidwa kwenye biashara ya Korosho wakati PHD yake ilihusu Korosho
Huyu jamaa na mishe mishe zake namjua vizuri. Siwezi simama na kumuita doctor habadani....View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba levo alipewa na chuo cha ndani city health college
Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.TCU waingilie kati hawa watu wasiruhusiwe kutumia title ya Dr, wanashusha hadhi ya taaluma, wanaleta sintofahamu kwenye jamii na kusababisha fedheha kwa wasomi. Kuna wasomi wazuri kabisa waliobobea, sababu wana Masters hawawezi kutumia title ya Dr.
Yaani upewe honorary doctorate na reputable university kwa kumuibua diamond!? aisee hii nchi imejaa vilaza.......Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.
Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?
Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?
Have we lost our civility to this extent?
Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.