Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,987
Kazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za Hamisa akiongea na mganga amroge Diamond na wazazi wake ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya Hamisa yaani wamejitahidi kuipindisha kweli kweli ionekane kuwa Hamisa ndo alompigia simu mganga ila hapana nakataaa yani sauti wala sio yeye wameipika!
Halafu sauti ya kiume ni Juma Lokole anasikikaa!! Ama kweli binadamu sio kabisaaa, akikuchukia bora uchukiwe na simba kuliko mtu!
Hamisa go girl, endelea kung'ara wave vizuri tumia umri wako vizuri kabisaa siku itafika ukweli utadhihirika!
Sent using Jamii Forums mobile app