Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,413
55,986
Kazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za Hamisa akiongea na mganga amroge Diamond na wazazi wake ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya Hamisa yaani wamejitahidi kuipindisha kweli kweli ionekane kuwa Hamisa ndo alompigia simu mganga ila hapana nakataaa yani sauti wala sio yeye wameipika!

Halafu sauti ya kiume ni Juma Lokole anasikikaa!! Ama kweli binadamu sio kabisaaa, akikuchukia bora uchukiwe na simba kuliko mtu!

Hamisa go girl, endelea kung'ara wave vizuri tumia umri wako vizuri kabisaa siku itafika ukweli utadhihirika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raynavero unampenda hamissa ila kwa hili hapana ungeongea ukweli khaaa!!

Huyo ni hamissa kweli ....kabisa kwa hili awe mpole tu!

Halafu why hamisa akumng'ang'ania majizzo kama anavyomng'ang'ania Diamond?

Si angetulia kwa yule wa SBL kama Mond haeleweki?

Nilikua nampenda ila anachosha sana aisee mpaka unahisi anazaa ili awatumie watoto kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink

Sent using Jamii Forums mobile app
Simlaumu kwenda kwa Mganga maana watoto wa mjini ndiyo zao.

Namlaumu kumpigia mganga simu ambaye huyo mganga anajuana na mama diamon na ashawahi kumtibia mama diamond....ilo ndo kosa.

Kweli ma Dada duu kwa kwenda kwa waganga ni hatari, hafu Hamisa anaenda had Bagamoyo, sasa hata isingekuwa mama mond sikuhizi had vijijini taarifa zinafika aisee, Hamisa aachane na ushirikina you can't force love, sijui ununuliwe nyumba huku una behave vibaya, sasa na mama dangote akimuendea kigoma Mobetto si ndo atachanganyikiwa atulie alee wanawe. Mana kushindana na mama mkwe yataka moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ubuyu nimeupata mda sana,kila nkija huku haujawekwa, mama ni mwalimu na ndo wanaoturekebisha tunapokosea ila kwa hamissa ni tofauti kabisa, yaani naona wanaona maisha hayawezi kwenda bila Diamond.
 
Na hapo ndiyo kaharibu maana diamond sijui atamuelewesha vipi ili amuelewe.

Hiyo nyumba afanye kazi anunue

Umeona eeeh hamisa kashapata umaarufu autumie kujijenga apate hela, tatizo anashindana na zarina tu hapo. Wataumbuka aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za hamisa akiongea na mganga amroge diamond na wazazi wake ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya hamisa yaani wamejitahidi kuipindisha kweli kweli ionekane kua hamisa ndo alompigia simu mganga ila hapana nakataaa yani sauti wala sio yeye wameipika!

Halafu sauti ya kiume ni juma lokole anasikikaa!!ama kweli binadamu sio kabisaaa...akikuchukia bora uchukiwe na simba kuliko mtu!

Hamisa go girl,endelea kung'ara wave vizuri tumia umri wako vizuri kabisaa siku itafika ukweli utadhihirika!

Sent using Jamii Forums mobile app
uache mahaba dada
Mbona huzungumzii mama yake hamisa?,anbaye mie naifahamu sauti yake ndio hiyo kwenye simu anaomba usaidizi wa mganga badala ya Mungu
Sio siri kwa Hamisa ametegesha mimba,ili afaidike kupitia mtoto
Sio siri kwamba hamisa analazimisha na yeye anunuliwe ghorofa kama la zarina
Sio siri kwamba Hamisa anatumia sana ndumba nangai kumvuta Diamond
Huyo mganga aweza kuwa ni Juma lukole kweli,ametumika kummaliza hamisa
kama hamisa anabisha akashitaki ndio hapo watu wa voda wataleta ushahidi wa clip
siku zote uchawi kwenye mapenzi haudumu
 
Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.

Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisa akifikisha 40 lazima awe mganga duh aliloga had Zari akabwaga manyaga aisee. Sometimes vtu vingine havihitaji uchawi ni wewe tu kuji behave vzuri, majjizo yenyewe ilimshinda tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo ndiyo kaharibu maana diamond sijui atamuelewesha vipi ili amuelewe.

Hiyo nyumba afanye kazi anunue

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani bila kutumia akili ajenge yake ataumia, hata team yake kina carrymastory, jaymaudaku, originalest wanampoteza tu ka Wema Sepetu. Hamisa alibug kushindana na mama mzaa chema aisee asingeshinda hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom