Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,841
Pesa pesa maana ana hamu na kiu ya kuitwa bosslady na yeye ndo maana kazaa na matajiri tupu


nilichekaga alivyoandika hivyo kweli msichana asiyekua na akili zinazoumia ni sehemu zake za siri.Sent using Jamii Forums mobile app