Hamisa Mobetto amempa mtoto wake jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo.
Jina hilo ni la Babu yake anayeitwa Abdul. Jina la Diamond ni Naseeb Abdul.
sijui watu wa madale wana mpango gani na zari.zari anajifanya mjanja ila hawa watu wa tandale sijui wana mpango gani na huyu mganda wa watu ngoja tuone movie
Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?
Hivi kwenye hii ishu cha ajabu haswa ni nini? au wezangu mimi mshamba!!!!!? Yaani Amisa kuzaa na Diamond ni story???? ishiiiiiiiii kuna mengi ya kufanya jamani...
sijui watu wa madale wana mpango gani na zari.zari anajifanya mjanja ila hawa watu wa tandale sijui wana mpango gani na huyu mganda wa watu ngoja tuone movie
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake