mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Huyu dada akipiga picha mzuri kweli umuone anaongea sasa.ka mdomo sijui kanakaaje,ila ana umbo zuriiiii sio.kama kina mdee
Akamlee Ciza sasa........
NDo nani tena huyo
Mmh!! Mademu wakali wanachukuliwaga na watu wa ajabu
Mtoto wa Dj Majey
Picha basi kidogo kama unayo....me mbona kama nachanganya madesa
Mmh!! Mademu wakali wanachukuliwaga na watu wa ajabu
Si kanajiitaga malkia kadomo...hehee mambo shost,,
Mmh!! Mademu wakali wanachukuliwaga na watu wa ajabu
Bora ungemchukua hata wewe eti binamu
Mtoto wa Dj Majey
Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova