Hamasa ya UKAWA ipo Tanzania nzima

Hamasa ya UKAWA ipo Tanzania nzima

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
1,537
Reaction score
597
Kama hutaki kuamini mimi nakuacha na ujinga wako,watanzania wamezinduka na hawarudi tena CCM.Chama kinaendeshwa kibabe sana,ni watu wachache sana ndio wanaofanya maamuzi ya chama ,ufisadi,rushwa,udini,ukabira,umafia ndio sera ya CCM.Kwa heri CCM uende jehanamu.Ni chama cha kutukana watu,na ni chama cha kifamilia,ni chama cha kubeba majina ya watu watano mfukoni.Ogopa CCM kama ukoma
 
[falcon mombasa]JUKWAA LA SIASA now on whatsapp nipm nikuunge
0763159003 niunge brz kwa hyo n
o chaaap
 
Back
Top Bottom