Hamas yatungua Drone ya Israel

Hivi Arafat Yuko wapi sikuizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wale waliopo pale sio waisrael wa damu (Kama ulivyoandika), je hao waisrael wa damu wapo wapi?
 
Taifa teule linapigika na Wanamgambo Aseee [emoji4][emoji3][emoji23][emoji16][emoji52]

Sent using My COVID-19
Mashia yataifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa maneno tu, yanaogopa kuifuta kwa vitendo yanajua dakika 6 yakuwa chalii [emoji3517][emoji3517]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wale waliopo pale sio waisrael wa damu (Kama ulivyoandika), je hao waisrael wa damu wapo wapi?
Sijui wako wapi, ila nachojua mimi ni kuwa maana ya Israeli ni kizazi cha nabii Yaqoub na kizazi chao hakipo.

Labda kama utaweza kunionyesha au kunithibitishia ya kuwa wale ni kizazi cha Yaqoub utakuwa umefanya jambo jema sana.
 
Uko sahihi, ila wapiganaji wakienda kujificha kati ya hao "innocents" unatarajia wasipigwe kwa kigezo hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashia yataifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa maneno tu, yanaogopa kuifuta kwa vitendo yanajua dakika 6 yakuwa chalii [emoji3517][emoji3517]

Sent using Jamii Forums mobile app
WAZAYUNI wanapigwa nawanamgambo kweli taifa teule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza

View attachment 1435075View attachment 1435076

========

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shaka kuwa Hamas wanaweza kuwa wametungua hiyo drone ya Israel, uwezo huo wanao kama walivyoonesha mara kadhaa huko nyuma.

Ila samahani mkuu, kwa nini unatuwekea picha za uongo?

Picha ya kwanza inayoonesha drone ikiungua angani, ni picha ya drone ya waasi wa Yemen (Houthis) waliposhambulia uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi mnamo July 2018. Habari yake hii hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

IRGC Commander: Iran Is on the Brink of an โ€œAll-Out Clash with the Enemyโ€

Picha ya pili ni drone ya Saudia iliyoangushwa na waasi hao wa Yemen (Houthis) mnamo Decembe 1, 2019.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Yemeni army, allies shoot down 4th Saudi-led surveillance drone in week
 
Ndoto za alinacha hizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ