Umetumia misamihati ya kuikandamiza Israel utafikiri Israel ilikuibia mke. Mfano utawala dharimu, pandikiziHamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, 'drone' hiyo ya Wazayuni imetungulia na vikosi vya Hamas mashariki mwa jiji la Dir al-Balah, katika Ukanda wa Gaza na hivi sasa ipo mikononi mwa wanamuqawama hao.
Jeshi la utawala haramu wa Israel linadai kuwa ndege yake hiyo isiyo na rubani imedondoka kutokana na hitilafu za kifundi, na eti ni muhali kuvujisha taarifa zozote muhimu kutoka kwenye chombo hicho.
Vikosi vya muqawama vya Palestina mara kwa mara vimekuwa vikitungua 'drone' za utawala pandikizi wa Israel, ambazo hutumiwa na utawala huo wa Kizayuni katika operesheni za mauaji na ujasusi.
Mbali na Palestina, ndege hizo zisizo na rubani za utawala haramu wa Israel zimekuwa zikiruka kinyume cha sheria katika anga za Syria na Lebanon. Utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukitumia drone katika hujuma na mapambano ya kukabiliana na harakati za muqawama wa Kiislamu.
View attachment 1435075View attachment 1435076
Sent using Jamii Forums mobile app
The same shit over and over again.
Uzuri wa Israel wanatuma salamu zao kimya kimya, wakishazituma sasa utasikia "Israel attacks innocent Palestinians".
Ukiona hivyo Wa Israeli hawajui kanuni za kivita, kama wanawapiga wanawake na watoto au wazee, unataka habari ziandikwaje ?The same shit over and over again.
Uzuri wa Israel wanatuma salamu zao kimya kimya, wakishazituma sasa utasikia "Israel attacks innocent Palestinians".
Hayo mashambulio yanayofanywa na hamas huwa hayaui raia? Tatizo Israel hailii liii kama hawa wapalestina.Ukiona hivyo Wa Israeli hawajui kanuni za kivita, kama wanawapiga wanawake na watoto au wazee, unataka habari ziandikwaje ?
Kanuni za vota tangu kuumnwa kwa dunia na vyote vilivyomo, wanawake, watoto na wazee hawatakiwi kuuliwa zaidi ya kuchukuliwa mateka hao ndio huitwa "Innocents". Sasa ukiona Waisraeli wanawaacha Mashabaab(Wahusika wa vita) kuwauwa na kuwauwa watoto,kina mama,na wazee hao tunwaita waoga na wanafanya HILA.
Sijaona ya kifanya hivyo, ukisema raia unatakiwa ujue ni kina nani, hata wanajeshi nao ni raia, sasa bainisha. Nionyeshe wapi wameua raia wasio kuwa na hatia, ukinionyesha nitabadilo msimamo wangu.Hayo mashambulio yanayofanywa na hamas huwa hayaui raia?
Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.Tatizo Israel hailii liii kama hawa wapalestina.
Hili nalijua kwa sababu sio Waisraeli kiasilia ndio maana wanatakiwa wapigwe na waondoke pale. Wazayuni ndio wanaleta uzandiki kwa kivuli cha Waisraeli feki ili kuwatoa Wapalestina katika ardhi yao, wasipo ondoka leo pale basi wataondoka siku zijazo na hii ahadi iliyoshaandikwa.Unajua these hamas wanachokitaka ni nini? Kuwamaliza wa-Israel
Sawa embu nipe muongozo niende kusoma wapi, au nirejee kitabu gani niweze kujua hili ?Au haujui? Nenda kasome.
Tamko hilo lina maana zaidi ya tano, ila maarufu ni "Wapiganaji/Wapambanaji" ila kiasili lina tokana na tamko lenye maana ya "Nguvu".Harakati ya "muqawama" ya kiislamu.... hili neno lina maana gani?
Lol,Sijaona ya kifanya hivyo, ukisema raia unatakiwa ujue ni kina nani, hata wanajeshi nao ni raia, sasa bainisha. Nionyeshe wapi wameua raia wasio kuwa na hatia, ukinionyesha nitabadilo msimamo wangu.
Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.
Hili nalijua kwa sababu sio Waisraeli kiasilia ndio maana wanatakiwa wapigwe na waondoke pale. Wazayuni ndio wanaleta uzandiki kwa kivuli cha Waisraeli feki ili kuwatoa Wapalestina katika ardhi yao, wasipo ondoka leo pale basi wataondoka siku zijazo na hii ahadi iliyoshaandikwa.
Sawa embu nipe muongozo niende kusoma wapi, au nirejee kitabu gani niweze kujua hili ?
Hili ni tokeo na sio lengo.Hizi rockets zinadondoka kwenye ardhi ya Israel umejaribu kuwaza haya madhara yanatokea kwa nani kama sio civilians?
Uliwahi kuwauliza wakasema target yao ni kuua raia ?Najua unajaribu kusema kwamba Hamas hawana lengo la ku-target civilians ila ukweli ulio wazi ni hamas target yao kuu civilians kwa sababu Hamas is literally a terrorist organization.
Inaonekana hujui maana ya ushahidi, hii ni picha tu na kilichoandikwa hapo hata wewe unaweza kuandika. Swali, ni kipi kilichoufanya wewe hii picha ikawa ni ushahidi kwako ?Unataka ushahidi? November 12 mwaka 2018 hawa hamas walifanya missile attack from Gaza na ika-hit bus wa Israel lililokuwa na watu ndani.
Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.
Hili ni tokeo na sio lengo.
Pili,unaposema ardhi ya Israeli una maanisha nini ?
Uliwahi kuwauliza wakasema target yao ni kuua raia ?
Inaonekana hujui maana ya ushahidi, hii ni picha tu na kilichoandikwa hapo hata wewe unaweza kuandika. Swali, ni kipi kilichoufanya wewe hii picha ikawa ni ushahidi kwako ?
Ndio ni miongoni mwa kulia, unaweza kulia lia kwa kunashua jambo na kwa kuthitisha jambo pia.Kulilia lia ni kukanusha jambo?
Yani unipige halafu nikatae kwa
Yani unipige halafu nikatae kwa watu haujanipiga ndiyo kulia lia?
Thibitisha hili. Hizi ni kauli za watu wasio jua wanachokijadili, mwisho wa siku kjitweza, mna zile kaulo zenu, "Ooh hata nikikueleza hutaelewa" dalili za kuishiwa hoja.Nisamehe kukusemesha vitu vizito vilivyokuzidi uwezo.