Hamas yakunusha kusitisha mashambulizi dhidi ya ISRAEL.

Nicolas J Clinton Gabone

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
897
Reaction score
559
Kundi la kigaidi la HAMAS limesema halitasitisha mashambulizi yake na ISRAEL hii imekuja baada ya kudaiwa kundi hilo limesitisha mashambulizi kwa saa 24 ili kupisha meza ya mazungumzo.

Wakati huo usiku wa kuamkia leo watu zaidi ya 100 wameuawa na vikundi vya kijeshi vya ISRAEL wanamgambo 18 wa Palestina wamekufana na ISRAEL imepoteza wanajeshi 10 usiku wa kuamkia leo.

Msemaji wa Hamas amesema hawatasitisha mapigano mpaka ISRAEL isitishe na kukomesha mauaji nchini humo na kuondoa vikosi vyake vya ardhini.
 
Kundi la kigaidi la HAMAS limesema halitasitisha mashambulizi yake na ISRAEL hii imekuja baada ya kudaiwa kundi hilo limesitisha masambulizi kwa saa 24 ili kupisha meza ya mazungumzo. Wakati huo usiku wa kuamkia leo watu zaidi ya 100 wameuawa na vikundi vya kijeshi vya ISRAEL wanamgambo 18 wa Palestina wamekufana na ISRAEL imepoza wanajeshi 10 usiku wa kuamkia leo. Msemaji wa Hamas amesema hawatasitisha mapigano mpaka ISRAEL isitishe na kukomesha mauaji nchini humo na kuondoa vikosi vyake vya ardhini.

Wacha KUPOTOSHA, Mapigano yataisha Mpaka hapo BLOCKAGE itapo isha Mipaka ya Misri, Anga na bahari itakapofunguliwa ONLY.
 
Hamas ni kundi la ukombozi wa wapalestina na wala so kundi la ugaidi kama wanavyosema makafiri Wa nchi za magharibi na kwengineko duniani
 
kwa kuwa wanaouwawa kwa upande wa Israel ni wanajeshi na wanaouwawa kwa upande wa wapalestina ni raia itafikia wakati raia wote wa palestina watakwisha na wanajeshi wote wa Izrael watakwisha,sasa hapo ndipo mshindi atakapojitokeza itakuwa mapambano kati ya wanajeshi wa palestina na raia wa Izrael kama ilivyo hivi sasa vita ni kati ya raia wa palestina na wanajeshi wa Israel
 
Naona mkuu unatupatia hesabu za logic!
 
kwa kuwa wanaouwawa kwa upande wa Israel ni wanajeshi na wanaouwawa kwa upande wa wapalestina ni raia itafikia wakati raia wote wa palestina watakwisha na wanajeshi wote wa Izrael watakwisha,sasa hapo ndipo mshindi atakapojitokeza itakuwa mapambano kati ya wanajeshi wa palestina na raia wa Izrael kama ilivyo hivi sasa vita ni kati ya raia wa palestina na wanajeshi wa Israel
Raia wote wa israel wenye umri unaozidi 18 ni wanajeshi. Piga hesabu tena na pia uhai wa raia mmoja wa israel unaghalimu wapalestina 100 lete hesabu tena
 
Wacha KUPOTOSHA, Mapigano yataisha Mpaka hapo BLOCKAGE itapo isha Mipaka ya Misri, Anga na bahari itakapofunguliwa ONLY.

Mkuu hamas ni magaidi hivyo hawaaminiki leo hili kesho lingine haswa kwa sasa wapo hoi wanataka suluhu ila baba lao gaidi mkuu shetan taifa la lrani ndie anayewapa jeuri hadi wakija stuka hawaiwezi Israel wakija jihesabu laki 7 na hakika watamchukia evil iran
 
kwa kuwa wanaouwawa kwa upande wa Israel ni wanajeshi na wanaouwawa kwa upande wa wapalestina ni raia itafikia wakati raia wote wa palestina watakwisha na wanajeshi wote wa Izrael watakwisha,sasa hapo ndipo mshindi atakapojitokeza itakuwa mapambano kati ya wanajeshi wa palestina na raia wa Izrael kama ilivyo hivi sasa vita ni kati ya raia wa palestina na wanajeshi wa Israel

no problem n wanamgambo wa kipalestyn wa wanajfcha kwa raia
 
Hamas ni kundi la ukombozi wa wapalestina na wala so kundi la ugaidi kama wanavyosema makafiri Wa nchi za magharibi na kwengineko duniani

Hamas wao wanajijua ni magaidi wewe jeusi wakataa! Unashangaza! Gaidi huwa ni mshambulizi wa kuvizia na ndio afanyavyo mwamedi alisema waislam ndio makafiri wana amini sanamu la mungu mwezi ukaao juu ya misikiti yote.
PLO ndio chama cha ukombozi
 
kwa kuwa wanaouwawa kwa upande wa Israel ni wanajeshi na wanaouwawa kwa upande wa wapalestina ni raia itafikia wakati raia wote wa palestina watakwisha na wanajeshi wote wa Izrael watakwisha,sasa hapo ndipo mshindi atakapojitokeza itakuwa mapambano kati ya wanajeshi wa palestina na raia wa Izrael kama ilivyo hivi sasa vita ni kati ya raia wa palestina na wanajeshi wa Israel

moja wapo ya kazi ya jeshi ni kulinda raia wake na ndicho wanachofanya IDF..na ndio maana raia waliodedi hawazidi watatu kwa israel...hamas hawana muda na gazans, wao wanarusha virocket vyao tu kutokea sehemu yoyote...sasa hivi wamesukumwa mbali hadi virocket vyao vingine vinadondokea humo humo gaza
 
Back
Top Bottom