inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,781
- 22,610
hebu fuatilia historia ya vita kati ya mataifa ya kiarabu na Israel then ndo uje utuambie hao makamanda ni wapi ndugu yangu....vita ya mwaka 1947,1948,1967,1973,2009 etc hebu google usome hizo historia kwanza then uje ukiwa neutral.
cha msingi umeshaelewa nini naongelea!!Hapo kwenye 'shelter' edit haraka uweke 'shield' kabla ya wenye lugha hawajafika kukushambulia na kuvuruga maudhui, otherwise inabidi ujitetee kweli kuwa ulidhamiria kuandika 'shelter' na si vinginevyo!
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.
Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.
Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
hebu fuatilia historia ya vita kati ya mataifa ya kiarabu na Israel then ndo uje utuambie hao makamanda ni wapi ndugu yangu....vita ya mwaka 1947,1948,1967,1973,2009 etc hebu google usome hizo historia kwanza then uje ukiwa neutral.
wanavaa mavazi hukuiona ile utube crips wakati wameingia israel kupitia mtaro?.wako full combart,kwahiyo kusema hawavai uniform si sawa.laiti kama hamas wangekuwa wanavaa official military uniform wanapokuwa ktk harakati zao,nina hakika tungepata uwiano sahihi wa idadi ya wapiganaji wa hamas waliouwawa na jeshi la israel.fikiri mtu anapigwa bomu huku akiwa kavaa kanzu na barakashia,ni ngumu sana kutoutisha yupi ni raia na yupi ni mpiganaji wa hamas.
Usiwe mjinga
Roketi inahitaji eneo wazi kulirusha.huwezi kulirudha ndani ya nyumba.
Makombora yana rushwa kwenye pori na jangwa.
Tunnel ndio zina tumika
Wanachimba tunnels thn juu kama mtaro wa maji wanafungua kitu kinarushwa.
Ni ujinga kuamini hizi propaganda za wauaji.
Na hao kwenye picha ni raia wa kawaida tu.
Hamas hajakamatwa hata mmoja ndo maana nyetanyau kanuna anashambulia watoto kama chizi
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.
Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.
Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
Wapiganaji wa Hamas.
A Palestinian man mourns the death of a Hamas security member after an Israeli missile strike that killed 205 today
Bodies of Hamas policemen lie on the ground of their destroyed police compound following an Israeli air strike in Gaza today
ungekua mfuatiliaji mzuri ungegundua kuwa maeneo yanayoshambuliwa ya UN kama mashule na mahospital,wengi wa wafanyakazi wake ni wazungu na ndo wanao update kwenye twitter kila inapotokea mashambulizi na hawasemi kama hospitalini kuna base ya hamas wala silaha labda ukiacha matukio mawili ambapo roket zilikutwa kwenye majengo ambayo yako wazi na walisema.In a real sense, hamasi ndio wanaoua raia wa palestina:-
1. Wameweka military base kwenye makazi ya raia. Israel anaposhambulia hizo bases, na raia wanaathirikia.
2. Israel amewaambia raia waondoke kwenye maeneo ya vita, hamasi anawazuia.
3. Raia wanapokataa kutumiwa kama ngao, wanakula kichapo cha mbwa mwitu.
4. Hamasi hawavai sare wala hawana identity ya wazi. Wanapolipua mizinga, hao hao wanakuwa raia na israel inaposhambulia hao waliojibadili kuwa raia wanakufa lakini essentially ndio walipuaji mizinga.
5. Hamasi wakipigwa wanakimbilia hospitalini na mashuleni kujificha. Hapo ni kuwatoa mhanga wadau wa vituo hivyo.
6. Hamasi anashindwa kumanage makombora yanaangukia pale pale na kwa kuwa kawazuia raia kukaa mbali na majeshi, wanakufa halafu anasingizia Israel.
7. Uchokozi wa hamasi wa kuwateka na kuwaua watoto wa Israel kwa ajili ya kutimiza ibada zao za mashetani ndio chanzo cha mauaji ya wa palestina na ambayo hamasi wanayakumbatia.
HAMASI NDIO WANAOWAMALIZA WAPALESTINA.
IDF, wanaji Identify kwa sababu wana dhamira ya kweli ya kulinda nchi yao na raia wao. Wanawalinda raia na ndiyo maana Hamasi hawafikii.
Kikubwa kuliko yote Israel ana Mungu upande wake wakati hamasi hawana Mungu ila wana mungu.
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.
Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.
Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
hamas base ziko underground na wala sio mashuleni.na mbinu wanayotumia ni urban warfare na ni standard tactics when facing a superior power,sasa ulitaka hamas wawe na kambi peupe ili waisrael wailipue.vita ni mbinu.uoga ni kushambulia na kuua raia wasio na silaha na kuweka visingizio kibao.Acha propaganda za kijinga, roketi zaidi ya mia saba zilikuwa zinalenga wanajeshi? Mbona hao hamas hawaingii israel kwa vita vya chini badala yake wanajificha mashuleni? Israel ameingia vita vya chini kwa sababu hamas wanajificha mashuleni.
mbona vita ya 2006 ya israel na hizbollah hampend kuitaja,hamkuwepo
Tunadanganywa kuwa Israel ilishinda kana kwamba yeye alipigana peke yake. Ukweli ni kwamba vita ile ilikuwa kati ya Waarabu Wote dhidi ya Israel na Mataifa ya Magharibi( Ulaya na Marekani kwa kutoa support kubwa ya vifaa, pesa pamoja na survaillance)! Na hata sasa, hiyo unayosikia Israel anayo haki ya kujilinda lakini wajitahidi kutoaua raia ni aibu tu, lakin bado support anapewa. Kiuhalisia, Hamas anapigana na Israel in JV With Western counterpart!