Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,379
Punguzeni kula mirungi hali sio yenyewe mnawasumbua wasio na hatia na mnajificha kwa wananchi wasio na hatiaHawa Ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi...
Farijianeni kwa hekaya hizo!Hawa Ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi...
Au sio. Huu Ni mtikisikoFarijianeni kwa hekaya hizo!
Leo Ijumaa mda huuFarijianeni kwa hekaya hizo!
... wapuuzi tu hao; kwani wameanza leo kuswali hapo? Walikuwa na sababu gani ya kurusha mabomu? Unaanzisha ugomvi ambao una uhakika hutashinda zaidi ya maafa kwa watu wako akili matope?Leo Ijumaa mda huuView attachment 1792743
Nani karusha mabomu... wapuuzi tu hao; kwani wameanza leo kuswali hapo? Walikuwa na sababu gani ya kurusha mabomu? Unaanzisha ugomvi ambao una uhakika hutashinda zaidi ya maafa kwa watu wako akili matope?
... unajitoa ufahamu?Nani karusha mabomu
Nimekuuliza kwasababu sijaona askari hapo akidhuriwa na watu wanafanya ibada zao kama kawaida, tatizo linakuja pale unapowazuia watu kufanya ibada zao... unajitoa ufahamu?
Kichapo cha kuporomosha magorofa auIla tripu hii hammas wamekula kichapo nusuru wafutwe kabisa washukuru Israel imekubali kusitisha kiponda gaza
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ila tripu hii hammas wamekula kichapo nusuru wafutwe kabisa washukuru Israel imekubali kusitisha kiponda gaza
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app