HAMAS ilijiandaa hasa

Waliangalia kule Ukraine kilichokua kinatokea, sema kule mrusi aliwaacha wanajeshi wa Ukraine walipokua wanajificha kwa raia wakajua labda na Israel nae itakua hivyo,,,kumbe hao Israel ndo mashetani hawajali kitu pole yao
 
Hamas walitegemea wakijificha hospitalini, shuleni na maeneo ya raia na kuvaa nguo za raia kipindi cha mapigano watapata huruma ya dunia na israel itaacha kushambulia wakajikuta israel haijali ni kichapo popote walipo na raia wote
 
We kilaza una uhakika yesu alisurubishwa na wayahudi..???
 
Acha bhange ndugu, inaharibu ubongo
 
Hamas ilijiandaa KUFA, na wamekufa kweli!! Ila siku ukitokea uthibitisho kwamba kule ahera hakuna cha bikra wala nini, hii dini itafutika duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…