Kuwaanika then aachane na siasa haitokua sawa.......hapa Ni mapambano hadi kieleweke, tukipoteza viongozi makini Kama Hamad Rashid ndio inapelekea taifa kuzidi kudidimia.Kumkataa jaji hakutawasaidia kitu kwa sababu jaji yoyote atakae pangiwa kesi hiyo watashindwa tu kwasababu wamefanya makosa. hatuhitaji kuwa na degree kutambua kwamba walikaidi amri halali ya mahakama. Lakini huyu hamad rashid asingehangaika hivyo. Ningemshauri awaanike vizuri CUF halafu aachane na siasa.
Huyo sio mroho wa madaraka, alipofukuzwa ccm na maalim seif yeye alikuwa Waziri wa fedha lakini aliacha kazi kwa sababu ya msimamo. Hamad Rashid Ni kawaida yake kudai haki.CUF wamsulubu kichama yule muuaji (waziri wa usafirishaji zenji mwana cuf) na kuachana na huyu kilaza MROHO WA MADARAKA HR
Maendeleo Ni kwa Mchele wa mapembe kuwa tsh.1800?!! Karafuu sasa hivi watu hawalipwi tena, wanakopwa! Je, haya Ni maendeleo? Nani alokudanganya kwamba lwakatare, Magoba walifukuzwa?! Na huo umaarufu wao wa kumzidi hamad uko wapi?!Wabara siku zote ni kuona Znz kuna malumbano na nchi haindelei. Maendeleo ya Znz kiuchumi yanawachoma sana wa Tanganyika. Sasa Hamad is Out na nchi itaendelea. Walifukuzwa watu maarufu kuliko Hamad akina Naila Majid Jidawi, Mapalala, Frank Magoba , Rwekatare na wengine wengi lakin chama kinaendelea. Kumbukeni chama sio genge la wahuni ni lazima mfuate sheria na sio kupinga kufuata sheria ni lazima ufukuzwe.
Nafikiri hapo kuna utata kwenye katiba zote mbili. Ni vizuri ukajua kuwa Znz na Tanganyika zimeungana kimkataba na sio kikatiba.Hivi kudharau amri ya mahakama ni kosa/shauri la madai au jinai?
Maendeleo Ni kwa Mchele wa mapembe kuwa tsh.1800?!! Karafuu sasa hivi watu hawalipwi tena, wanakopwa! Je, haya Ni maendeleo?
Nani alokudanganya kwamba lwakatare, Magoba walifukuzwa?! Na huo umaarufu wao wa kumzidi hamad uko wapi?!
Utazungumza mengi lakini najua imekukera sana Hamad Kufukuzwa. Lakin ndivyo ilivyyo hatakiwi tena CUF labda mumchukue tu huko Bara kama mnamuona bado ni dhahabu.
Nimekupa takwimu za kukuwa kwa uchumi wa Znz kuanzia 2000 mpaka sasa na kasi zake. Sasa kama unataka au una suala kutokana na hilo basi Bismillah lete nitakusaidia tu sio kuniambia bei ya kitu kimoja kimoja kupanda au kushuka.
Hapa tunazungumzia Utanzania, hakuna bara na visiwani, Umimi wako huo ndio tunachopinga hapa, Hamad kaona kuna umuhimu wa kulisimamia jambo hili na kuhakikisha Muungano watu Kama Watanzania unadumu. Hana fikra chovu Kama zako zenye kutizama Uzanzibar tu.
Suala la kumchukua hamad Kama unavyodai mmemchoka ilhali jana tu CUF imeumbuka baada ya kushindwa kufanya maandamano ya KUMPINGA baada ya kugomewa na wananchi (WAPEMBA) hasa wapiga kura wake inaonyesha wazi umetanguliza chuki zaidi mbele kuliko maslahi ya taifa kwa ujumla.
Tutamchukua Hamad na pia basi nanyie wapemba mhame huku bara, na investment zenu zoooote muondoe.
DHAMBI YA UBAGUZI ITAENDELEA KUWATAFUNA HADI MUISHE NINYI.
Inaonesha ww ni mchochezi na hufai katika jamii,wa kumtetea HR ni watu wa jimbo lake sio ww au umetumwa??Ww ndo umesema mapembe na karafuu,huko bara kuna karafuu na mapembe??unajibiwa unageuza kibao eti Muungano unajifanya Muungano unakuuma saaana huna lolote ww ni mamluki,mueneza chuki,wapemba waondoke huyo HR ni mnyamwezi.Go to the hell na chuki zako za kipumbavu.Hapa tunazungumzia Utanzania, hakuna bara na visiwani, Umimi wako huo ndio tunachopinga hapa, Hamad kaona kuna umuhimu wa kulisimamia jambo hili na kuhakikisha Muungano watu Kama Watanzania unadumu. Hana fikr
a chovu Kama zako zenye kutizama Uzanzibar tu.
Suala la kumchukua hamad Kama unavyodai mmemchoka ilhali jana tu CUF imeumbuka baada ya kushindwa kufanya maandamano ya KUMPINGA baada ya kugomewa na wananchi (WAPEMBA) hasa wapiga kura wake inaonyesha wazi umetanguliza chuki zaidi mbele kuliko maslahi ya taifa kwa ujumla.
Tutamchukua Hamad na pia basi nanyie wapemba mhame huku bara, na investment zenu zoooote muondoe.
DHAMBI YA UBAGUZI ITAENDELEA KUWATAFUNA HADI MUISHE NINYI.
Mkuu Baru, mi wala roho hainiumi kwa kufukuzwa huyu jamaa kwa sababu haiathiri upatikanaji wa ugali wangu. lakini inaonekana kuwa ni suala linaloihusu sana CUF na mashabiki wake. Kwa kuwa unaonekana kuwa ni sehemu ya maamuzi haya ya kufukuzwa kwa HR, nataka kujua kutoka kwako, iwapo mahakama ikisema kufukuzwa kwake si halali hivyo bado ni mwanachama, mtafanya nini? Natanguliza shukrani zangu kwa jibu lakoUtazungumza mengi lakini najua imekukera sana Hamad Kufukuzwa. Lakin ndivyo ilivyyo hatakiwi tena CUF labda mumchukue tu huko Bara kama mnamuona bado ni dhahabu.
Nimekupa takwimu za kukuwa kwa uchumi wa Znz kuanzia 2000 mpaka sasa na kasi zake. Sasa kama unataka au una suala kutokana na hilo basi Bismillah lete nitakusaidia tu sio kuniambia bei ya kitu kimoja kimoja kupanda au kushuka.
Inaonesha ww ni mchochezi na hufai katika jamii,wa kumtetea HR ni watu wa jimbo lake sio ww au umetumwa??Ww ndo umesema mapembe na karafuu,huko bara kuna karafuu na mapembe??unajibiwa unageuza kibao eti Muungano unajifanya Muungano unakuuma saaana huna lolote ww ni mamluki,mueneza chuki,wapemba waondoke huyo HR ni mnyamwezi.Go to the hell na chuki zako za kipumbavu.
Jina ulilotumia tu linaonyesha upeo wako unapoishia(kifa......?!)
Huyo HR sababu kubwa ya mimi kumsapoti Ni hukoo kuunga MKONO muungano......sera zake ziko wazi kuhusiana na suala zima la muungano. Na hii ndio sababu kubwa ya CUF kushuka sana hasa ktk uchaguzi wa 2010, kwani hawakuweka nguvu nyingi bara instead wakajikita zaidi zanzibar. Reason behind siitaji kurudia.
Problem yenu kubwa wa znz mna Umimi!! Narudia tena ile DHAMBI ya ubaguzi inawatafuna na ITAENDELEA KUWATAFUNA endapo hamtoacha Huu Ummi, ubinafsi na chuki kwa cc wa bara ilhali familia zenu ndugu jamaa wenu wengi tu wako huku bara.....wamewekeza na tunaishi Kama ndugu bila kubaguana.
Sikushangai sana kwani nakumbuka MHe: Masoud alishawahi kuzungumzia korosho and it was a very big mistake Kwake.......eti kwa nini anaongelea korosho anaacha karafuu na mbatata za urojo......that's stupid....U need to wake up guys and stop this non sense za Sisi na NINYI.......Mimi kuzungumzia mapembe kuna tofauti gani na MHE: Masoud kuzungumzia korosho?!!
Wake up guys!!!
Mkuu Baru, mi wala roho hainiumi kwa kufukuzwa huyu jamaa kwa sababu haiathiri upatikanaji wa ugali wangu. lakini inaonekana kuwa ni suala linaloihusu sana CUF na mashabiki wake. Kwa kuwa unaonekana kuwa ni sehemu ya maamuzi haya ya kufukuzwa kwa HR, nataka kujua kutoka kwako, iwapo mahakama ikisema kufukuzwa kwake si halali hivyo bado ni mwanachama, mtafanya nini? Natanguliza shukrani zangu kwa jibu lako
Wabara siku zote ni kuona Znz kuna malumbano na nchi haindelei. Maendeleo ya Znz kiuchumi yanawachoma sana wa Tanganyika.
Sasa Hamad is Out na nchi itaendelea. Walifukuzwa watu maarufu kuliko Hamad akina Naila Majid Jidawi, Mapalala, Frank Magoba , Rwekatare na wengine wengi lakin chama kinaendelea.
Kumbukeni chama sio genge la wahuni ni lazima mfuate sheria na kanuun walizojiwekea sio kwenda kinyume nazo kwani kufanya hivyo ni usaliti na adhabu yake ni kufukuzwa. Na ndilo lililompata Hamad Rashid