Hama kweli leo nimestaajabu kuona uchawi ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine

akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
314
308
Kupitia mizani ya wiki UTV nimemuona jamaa hapa chini akielezea alivochukua taaluma ya uchawi miaka mitatu na kufanya tafiti zake maeneo ya kanda ya ziwa. Nikamkumbuka moja kwa moja mh. Mshana jr. Nikafikiri labda ni yeye ninayesoma makara zake hasa zilizojikita huko. Ombi langu kama mushana upo hapa ninakuomba uniondoe kwenye sintofahamu. Maswali yangu ni je uchawi unasomewa? Na vyuo hivyo viko wapi? Na je niliyemuona huyo wa utv ni mshana.BAKI NDANI KORONA IPO.

20200419_203727.jpeg
 
Attachments

  • 20200419_203731.jpeg
    20200419_203731.jpeg
    21.5 KB · Views: 1
Mheshimiwa Kabudi, kuna tofauti kubwa kati ya ‘kupata unafuu’ na ‘kupona’. Tulia nyumbani usubiri vipimo vya pili, tafadhali!
 
Kupitia mizani ya wiki UTV nimemuona jamaa hapa chini akielezea alivochukua taaluma ya uchawi miaka mitatu na kufanya tafiti zake maeneo ya kanda ya ziwa. Nikamkumbuka moja kwa moja mh. Mshana jr. Nikafikiri labda ni yeye ninayesoma makara zake hasa zilizojikita huko. Ombi langu kama mushana upo hapa ninakuomba uniondoe kwenye sintofahamu. Maswali yangu ni je uchawi unasomewa? Na vyuo hivyo viko wapi? Na je niliyemuona huyo wa utv ni mshana.BAKI NDANI KORONA IPO. View attachment 1423941View attachment 1423943

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi unasomewa kuna chuo Dar kinaitwa chuo cha maarifa. Kufuzu uchawi ni miaka 5 halafu unaongeza miaka 2 unafuzu uganga wa kienyeji. Waalimu wengi ni mashekhe na kinatoa wachawi na waganga wengi tu kwa mwaka.
 
Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa - JamiiForums
Kupitia mizani ya wiki UTV nimemuona jamaa hapa chini akielezea alivochukua taaluma ya uchawi miaka mitatu na kufanya tafiti zake maeneo ya kanda ya ziwa. Nikamkumbuka moja kwa moja mh. Mshana jr. Nikafikiri labda ni yeye ninayesoma makara zake hasa zilizojikita huko. Ombi langu kama mushana upo hapa ninakuomba uniondoe kwenye sintofahamu. Maswali yangu ni je uchawi unasomewa? Na vyuo hivyo viko wapi? Na je niliyemuona huyo wa utv ni mshana.BAKI NDANI KORONA IPO.

Mshana Jr sekta yako inahitaji majibu

Jr
 
Uchawi unasomewa kuna chuo Dar kinaitwa chuo cha maarifa. Kufuzu uchawi ni miaka 5 halafu unaongeza miaka 2 unafuzu uganga wa kienyeji. Waalimu wengi ni mashekhe na kinatoa wachawi na waganga wengi tu kwa mwaka.
Tupe adress yake mkuu, naitafuta sana hii elimu ya nguvu za giza,

Kuna member pia alishawahi kuja humu na bandiko lake kuhusu utafiti wake kwenye uchawi na nguvu za giza LIKUD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom