Haluwaaaaaaaaaaa

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
2,006
Reaction score
346

nikama wana sema...duuh hizi kanzu zina tunyima mengi....



inaelekea hawa maninja wanatamani uhuru wa namna hii........d


 
Asiyejisitili ngozi yake itakuwa imekomaa kama Ngozi ya mtoto wa Tembo.
 
nikama wana sema...duuh hizi kanzu zina tunyima mengi....



inaelekea hawa maninja wanatamani uhuru wa namna hii........d



kwahili umedhihiri ushetani wako. kutembea uchi ndio kuwa huru? kama ndiyo hivo kesho anza kutembea huru.
 
Ha ha ha ha!
imani za watu na maadili yao havitoweza fanana hata cku moja
 
hawa maninja wanasema chakula kisichofunikwa anae kula ana roho ngumuu mno
kweli dunia imekwisha.Kutembea uchi ndo utu au unyama?moja ya tofauti kati ya mtu na mnyama ni stara ya mavazi.Je huyu alie na nguo za chumbani na mumewe ni mtu au mbuzi asie na haya!hafikii walau hata stara ya kondoo mwenye kuinamisha macho yake chini kuogopa kuona uchi wa mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…