Mujaahed Member Joined Jul 22, 2014 Posts 23 Reaction score 1 Dec 16, 2015 #1 Habari za muda huu wakuu Nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu vifurushi vya chuo vya halotel ambavyo nimesikia vimetangazwa hivi karibuni...#
Habari za muda huu wakuu Nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu vifurushi vya chuo vya halotel ambavyo nimesikia vimetangazwa hivi karibuni...#
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Dec 16, 2015 #2 *148*55#
M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 710 Reaction score 690 Dec 16, 2015 #3 Nimesikia leo wamezindua ila bei sijajua
M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 710 Reaction score 690 Dec 16, 2015 #4 Al-shabaab said: *148*55# Click to expand... Bei tupe na mb ngapi
hero7 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 220 Reaction score 70 Dec 16, 2015 #5 Huduma ipo ila bdo haijasambaa na iko hivi kwamba kuna laini zinatolewa kwa dealers kwa ajili ya kusajili watu walio chuo na huduma imezinduliwa leo.
Huduma ipo ila bdo haijasambaa na iko hivi kwamba kuna laini zinatolewa kwa dealers kwa ajili ya kusajili watu walio chuo na huduma imezinduliwa leo.
hero7 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 220 Reaction score 70 Dec 16, 2015 #6 Al-shabaab said: *148*55# Click to expand... take care na uliongealo
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Dec 16, 2015 #7 Attachments 12373309_1538045873183373_610177953762671227_n.png 140.3 KB · Views: 1,263
B bongounlock Guest Dec 17, 2015 #8 here is your relevant answer...go here BongoUnlock|Unlock Huawei,Vodafone,ZTE, HTC etc...
Mr Kicheko JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 789 Reaction score 216 Dec 17, 2015 #9 bongounlock said: here is your relevant answer...go here BongoUnlock|Unlock Huawei,Vodafone,ZTE, HTC etc... Click to expand... Wewe usitake kutuharibia jukwaa letu!! Hayo matangazo yako peleka kule matangazo madogo au fungua uzi wako siyo kuvamia nyuzi za wenzio. snipa yupo sahihi jukwaa linapoteza mvuto kila kukicha sababu ni hawa Underground watoka Facebook Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bongounlock said: here is your relevant answer...go here BongoUnlock|Unlock Huawei,Vodafone,ZTE, HTC etc... Click to expand... Wewe usitake kutuharibia jukwaa letu!! Hayo matangazo yako peleka kule matangazo madogo au fungua uzi wako siyo kuvamia nyuzi za wenzio. snipa yupo sahihi jukwaa linapoteza mvuto kila kukicha sababu ni hawa Underground watoka Facebook
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Dec 17, 2015 #10 Ni special kwa university students means lazm uwe na student ID card.. Ne nnayo nko udsm