Halotel's University Offer

Halotel's University Offer

Mujaahed

Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
23
Reaction score
1
Habari za muda huu wakuu

Nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu vifurushi vya chuo vya halotel ambavyo nimesikia vimetangazwa hivi karibuni...#
 
Huduma ipo ila bdo haijasambaa na iko hivi kwamba kuna laini zinatolewa kwa dealers kwa ajili ya kusajili watu walio chuo na huduma imezinduliwa leo.
 
attachment.php
 

Attachments

  • 12373309_1538045873183373_610177953762671227_n.png
    12373309_1538045873183373_610177953762671227_n.png
    140.3 KB · Views: 1,263
Ni special kwa university students means lazm uwe na student ID card.. Ne nnayo nko udsm
 
Back
Top Bottom