umesomeka mkuu, shukrani sana, nalifanyia kazi sasahiviNenda setting then apps hakuna app ambayo ni nameless? Kuna malware jina linakuwa empty. Kama ipo itoe, pengine inakuletea pia matangazo kwenye simu
Si hata simu hiko hivyo hata bila ya kutumia app.Down load app ya data usage hii itakuonyesha umetumia MB ngapi kwa siku husika napia inakuonyesha kila app ime tumia kiasigani cha data
The way mtandao unakua strong ndio bando linatumika effectively bila kona kona.Niliset 3G only mkuu. Sababu hata hapa nilipo 3G ina nguvu tu za kutosha.