cheesygoon
Member
- Nov 21, 2014
- 11
- 0
Halotel wana 4G toka lini?Lg nafkr znazngua,.hata me nnae lg g2 d801 na2mia halotel sa nyngne nkiweka wcdma only inakubal 4g af badae meyerk inakata, lakn ni mwendo wa edge kwa kwenda mbele kmtndo inansogeza sio haba, nshachoka ss naambiwa niunlock code ndo isome 3g netwrk
Chief mkwawa alisha nieka sawa kweny hil anasema kuna baadh ya cm ukiona znasoma 4g ujue ndo 3g apo. Halotel hamna 4g wana H+Halotel wana 4G toka lini?