hakuna bando linaloisha kwa 'haraka' bila kutumia kwa 'haraka'Gb 1 inaisha ndani ya muda mfupi mno kwa matumizi ya kawaida
najua mkuu,nikitumia kwa haraka najua,na nikitumia kawaida najua...hakuna bando linaloisha kwa 'haraka' bila kutumia kwa 'haraka'
Hii ni mitandao yote Wala usijidanganye, Tigo nitawashtaki Tena, naweka mtego tenaASUBUHI HII WAMEKATA 200 kwenye ile buku niliyoweka
Watetezi wakubwa wa hiyo mitandao huwa ni wanasiasa na viongizi wenye dhamana.Watakuja wajuvi watasema kwamba Watanzania wengi bado ni wageni wa teknolojia
Mitandao ya Tanzania uweledi ni sifuriTtcl sijui inataka kujifia?
Maana kutopatikana kwa network Kwa masaa mengi limekuwa ni jambo la kawaida siku hizi [emoji848][emoji848]
Inauma sana.
Imagine mtu anataka huduma labda ya Bolt/Uber taxi aende hospitali lakini TTCL wamekata mtandao na hakuna mbadala wa usafiri mwingine si ni mtihani mkubwa huo?!
TTCL mnakwaza sana [emoji57][emoji57][emoji18]
Umasikini ndiyo umepunguza mia mbili kutoka kwenye buku?Hakuna aliyekuibiya hapo, umasikini tu ndochanzo
Tumieni Zantel
Hauko Serious mzee, natumia Zantel mwaka wa 4 na sasa kwa kurahisisha huduma wameunganisha na Tigopesa.Zantel labda kwa Zanzibar tu lakini huku bara haupo reliable kama hii mingine