Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,253
- 44,363
sasa line inasoma 3g hio lte umeipata wapi? lte = 4g sio 3gTigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
Unajua unachokiongea kweli?Tigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
Mahali nilipo hakuna mtandao ulio speed kama Tigo kidogo na Smart na kwa kua huwa na switch 4G ndio kabisa+Bundle za Chuo na enjoy sanaKuna wengine ni mawakala wa hii mitandao mibovu hawataki appreciate Halotel.hata kama hutaki kuwakubali Halotel cc tunaenjoy huku hiyo mitandao ya zamani tumeshaisahau zamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mitaa yote speed ni constant... Sawa mkuu.Hebu toka hilo eneo nenda shemu tofauti, je spidi itabaki hivyo? Yaani hata huo mji uliopo ukienda mtaa mwingine unaweza ukakuta kitu tofauti. Kama kwa halotel kuna kuchagua maeneo basi ni kwa kiasi kidogo sana au hakuna, hiyo ndo tofauti.
Kwa halotel spidi ya mtaani kwako iko sawa na spidi ya mtaa mwingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ina wateja wachache ila kuna jamaa yangu yupo kitengo cha optmization kaniambia hilo ndio lengo lao.
Set network yako iwe WCDM ONLY uone moto wake.mie huku bado ni E siyo 3g wala H+
Niko Iringa tena sehemu ina mwinuko tigo inazingua kinoma kudownload. Ninatumia modem ya 4G na huku hakuna 4G kuna 3G sa sijui ndio sababu. Lakini modem za 4G ninachofahamu ukienda sehemu ambazo hazina 4G ina-default to 3G. Hii speed hata ingekuwepo "0.5G" isingefika. Yaani kama sio sheria za mtandao ningewatukana matusi ya nguoni.Tigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
Kumbe ni mahali ulipoMahali nilipo hakuna mtandao ulio speed kama Tigo kidogo na Smart na kwa kua huwa na switch 4G ndio kabisa+Bundle za Chuo na enjoy sana
Tigo sihami Ng'o
Wee utakuwa upo mjini au upo maeneo na mnara wa tigo! Toka nje ya mji uje ulete feedbackMahali nilipo hakuna mtandao ulio speed kama Tigo kidogo na Smart na kwa kua huwa na switch 4G ndio kabisa+Bundle za Chuo na enjoy sana
Tigo sihami Ng'o
then kama mpo kijijini ina maana hakuna 4g hivyo watu wasidanganye wenzao kwamba 4g haina speed wakati hujawahi kuitumia.Wee utakuwa upo mjini au upo maeneo na mnara wa tigo! Toka nje ya mji uje ulete feedback