Halotel ni kiboko kwa internet speed

Halotel ni kiboko kwa internet speed

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,440
Reaction score
3,606
Leo niliamua ninunue laini ya hawa jamaa nijaribu ubora wao kwenye internet kusema kweli wamekidhi vigezo sijawahi fikia speed hii kwenye modemu, shida vocha zao tu zinasumbua mpaka urushiwe.

nimeshindwa ku updload picha sababu ya matatizo ya jamii forums ila speed ni above 4.76Mbps ambayo sijawahi ipata kabisa kwa mitandao mingine.

NB: nimedownload movie ya the battle of stanligrad 386MB kwa dakika 7 tu.
 
Ni kweli halotel wameanza vizuri kwa internet speed yake si mchezo.
 
download speed ya kwenye dashboard ya modem inasoma Mbps ngapi?
 
Mwanzo walikuw vizur san.Lakn sahiv speed imeshuka san...au kweny modem bado wako vzur?
 
Hata Voda, Airtel na tiGo ukijiunga na vile vifurushi vya 5GB kwa elfu ishirini na tano (25,000) unapewa speed kubwa sana.

Wewe maliza hizo GB/MB za bure ulizopewa halafu uanze kujiunga na kifurushi cha unlimited kwa elfu moja (1,000) kwa siku then ulete feedback.
 
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.

tigo_zps75303c18.jpg

Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps

bbb_zps487464ad.jpg
 
Yes wana speed ila hawafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chin yake ni torrent downloder Bitcomet.

tigo_zps75303c18.jpg

Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps

bbb_zps487464ad.jpg
Hata mimi eneo langu tigo ana speed zaidi ya halotel

Ila nguvu kubwa ya halotel ni kwenye ping. Wana ping ndogo sana hivyo inasaidia unapofanya livestream, kupiga simu za internet na video call
 
hiyo nihatari tunaelekea kuzuri.

4G ya tigo iko vizuri sana na ni affordable..kama unataka kushusha movies subiri saa 5 usiku wakikupa zile GB 15...connect Mobile Hotspot na wireless ya PC...unapata speed ya 4G kwnye computer..utadownload mpaka download yenyewe iseme download download!
 
speed ni kubwa kwa sababu wateja ni wachache kulikanisha na mitandao mingine hivyo network ina trafic ndogo.. ukitaka ku-enjoy speed kubwa katika mtandao wowote ,,tumia usiku kuanzia saa 7 mpaka saa 11. Watu wengi wanakuwa wamelala hawatumii network
 
speed ni kubwa kwa sababu wateja ni wachache kulinganisha na mitandao mingine hivyo network ina trafic ndogo.. ukitaka ku-enjoy speed kubwa katika mtandao wowote ,,tumia usiku kuanzia saa 7 mpaka saa 11. Watu wengi wanakuwa wamelala hawatumii network
 
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.

tigo_zps75303c18.jpg

Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps

bbb_zps487464ad.jpg

Mkuu unaishi maeneo gani, maana tigo kwangu hata saa 9 usiku sipatii zaidi 4 Mbps
 
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.

tigo_zps75303c18.jpg

Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps

bbb_zps487464ad.jpg

Ama kweli Tigo ina wenyewe... huku speed ya kobe khaaa! hao halotel nao vocha zao kuzipata mshikemshike
 
Back
Top Bottom