thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,856
Tangu nijiunge na mtandao huu pendwa ni takribani miaka mitatu sasa,lakini sijawahi kuskia ama kwa kutanganzwa officially au hata story za vijiweni kwamba kuna mtu ameshinda bahati nasibu zao.
Kwa watumiaji wa Halotel mtaniunga mkono hili hapa chini;
Imekuwa ada kwa halotel kila ukiongeza salio wao hukutumia namba za kuchezesha katika droo za bahati nasibu na nimekuwa nikifatilia mchezo huo bila mafanikio si kwangu tu Hata kwa jirani zangu.
Swali: je ni waongo mchezo hyo haupo nisijisumbue kuucheza au washindi wapo ila wanapatikana huko huko maofisini kwao?.
Nawailisha,I'm standing to be corrected.