Halotel na 100mb za usiku

MAAJABU

Halotel n wez wa MB sana, jarbu kukwangua vocha half acha kuiingiza kwenye simu weka mezan, ukiamka asubuh washaitumia blv me pleaseeeeeeeee....
Mkuu acha uongo nimecheka sana
 
Ushaambiwa hiyo ni offer maalumu kwa watu maalum wewe unafosi yani
Sasa hapo nimefosi nini? Nimeuliza anajiunga kwa namba ipi kanitajia nimejaribu nimeambiwa sina ofa maalum kwa ajili yangu nimetulia
Ww ulitaka nifanyaje?
 
Halotel nao ni wapuuzi tu walikuja kwa speed hawana ishu yoyote ya maana. Nakula zangu voda mb 1024 kwa buku siku 5. Sipendagi ujinga
Menu gani hiyo??
Mie natumia Airtel Tshs 1,000 napata GB 2 kwa siku 3
 
Kumbe bora mm nilienda mjini nikapata shavu la kuungwa uni offer saiv npo zangu koromije burudan tu
 
Nimenunua line yao hawa jamaa wa ajabu kweli. Eti network iko katikati ya mji tu. Ukitoka kilomita mbili tu "emergency call!" Mb na muda wa maongezi umeenda bure!
Ndio changamoto yao, naona hawajawa tayari kutoa huduma.
 
Hakikisha umezima data kabla ya kuweka salio mkuu.
 
Halotel.......nijuzeni bei ya Sim card ya chuo.....al maarufu line ya chuo.
Ofisini yenu ya Tabata Liwiti inauza line ya chuo kwa shs 10000 wakati vijana wenu wanaotembea mitaani wanauza shs 5000.
Hebu tupeni ufafanuzi
Inapaswa iwe 1000 ni ujanja ujanja tu baada ya kuonekana ni hotcake.
 
M
atapeli hao Halotel,network yenyewe shida tupu hadi uwe katikati ya mji ndo inapatikana. Mimi Napata hasara sana ya airtime na bando zangu sizitumii ninapokuwa nje kidogo tu ya mji takriban 5km
 
like me ila sio kila mtu
 
halotel ni moja ya mitandao yenye vifurushi vya ovyo kabisa wakiongozwa na tigo
 
Halotel wadwanzi sn mi hua nanunuaga night pack 10GG kwa 1500 lkn mb znakua hazina speed ikifika SAA 11 nanusu ndo wanakupatia speed wakati mwisho wa kutumia hilo bundle ni saa12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…