Speed ya kibabekaribieni TTCL
wako freshSpeed ya kibabe
Nimenunua line yao hawa jamaa wa ajabu kweli. Eti network iko katikati ya mji tu. Ukitoka kilomita mbili tu "emergency call!" Mb na muda wa maongezi umeenda bure!karibieni TTCL
Amigo......karibieni TTCL
Basi inategemea na eneo mkuuNimenunua line yao hawa jamaa wa ajabu kweli. Eti network iko katikati ya mji tu. Ukitoka kilomita mbili tu "emergency call!" Mb na muda wa maongezi umeenda bure!
poa mkuuAmigo......
Ebu kuja chemba tusemezane hizi mambo za TTCL
Unajiungaje mkuu?Halotel nao ni wapuuzi tu walikuja kwa speed hawana ishu yoyote ya maana. Nakula zangu voda mb 1024 kwa buku siku 5. Sipendagi ujinga
Mkuu hii ofa sidhani kama kila mtu anayo. Mi naburudika nayo kama mwezi wa 6 sasa. Inaitwa "Ya Kwako Tu"Unajiungaje mkuu?
Kweli mkuu nimejaribu *149*03# inagoma inasema hakuna ofa maalum kwa ajili yanguMkuu hii ofa sidhani kama kila mtu anayo. Mi naburudika nayo kama mwezi wa 6 sasa. Inaitwa "Ya Kwako Tu"
Huwa inakuwa namba 3 kwenye menu ya *149*01#
Au simply najiunga kwa kupiga *149*03# na salio lake naangalia kwa kupiga *149*60#
Vodacom Power to you.
Huyo aliyeleta mada anamaanisha ukiwa na laini ya chuo.Hawa halotel ni wezi tu... Ukijiunga kwa 500, inapata 120mb ila zonalika kma mshumaa wapasaka, kingine unawza kuweka vocha yko ila pale unapopiga namba za kujiunga(*148*66#), wanakwambia "INVALID MM I CODE" na baada ya muda mambo yakiwa shwari unakuta wamekukata 50sh na hujatumia chochote, hii hali inanotokea sana...