Niko hapa halotel toka saa mbili hadi hivu sasa saa 6 mchana. nimekuja kusajiri laini yangu.kwa Huduma inavyotolewa inaonesha dhahiri hamjajipanga kabisa ni vyema mkahahirisha sasa kusajiri kuliko kuendelea kutuweka hapa na kuja na sababu zenu oooh system inasumbua mbona sehemu zingine mambo swafi tu.. Hili limekera watu wengine sana jirekebisheni