Maeneo mengi tu kwa dar huu mtandao unazinguaTena mno,hasa maeneo ya ukonga,gongolamboto
Msongamano ni mkubwa sana maeneo hayo. Mawimbi ya internet yanapata tabu kufika nyumba hadi nyumba.Tena mno,hasa maeneo ya ukonga,gongolamboto
Sasa mawimbi ya mitandao mingine kama airtel yanapitaje? Si wajifunze kwa wenzao?Msongamano ni mkubwa sana maeneo hayo. Mawimbi ya internet yanapata tabu kufika nyumba hadi nyumba.
Sasa line zinatupwa in bulkshalotel wameweza kupata wateja in bulks at wonderful ways... heko...
kwa nini 079 (smart) wanashindwa?
Smart masihara mengi mno then sokoni walilenga watu wa hali ya juu wenye uwezo wa smartphone pekee labda kama wamejirekebishahalotel wameweza kupata wateja in bulks at wonderful ways... heko...
kwa nini 079 (smart) wanashindwa?
Aisee nimejuta , Right nw nimetoka china Plaza kununia line ya halotel kwa kazi za Ofisi., nimefika kufungua Page tu inaload dakika 2... Nikashauriwa kuweka Line Ya Tigo , hakika nimeexperence speed ya Hali ya Juu.Very slow
Katavi INA kama Siku 6 hiviVery slow
Si mpande mwendo kasiPole.Mi naona kwa ajiri ya msongamano wa magari