Halotel mnanikera

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Kama kuna mfanyakazi wa halotel humu asome ujumbe huu awafikishie sijui ndio control center sijui ndio customer service center mtajua wenyewe.

SITAKI NA SITAKI NA NINAKEREKA NA MESSAGE ZENU ZA HALO SOKA KAAAAAHHHHHH[emoji16] [emoji16] [emoji16] yaani utazani simu yangu ni kwa ajili ya kutunza text zenu yaani kila baada ya dk 3 text.

Hamna service nzuri ya mteja kukutana na muhudumu akipiga namba ya huduma kwa wateja[emoji16] [emoji16] [emoji16] na mkiendelea mpaka kesho natupa line yenu, sitaki ujinga mimi, kila saa halo s0ka, halo soka.

 
Na sio kila mtu anamapenz na soka,wawke ili watu wawe wanaomba wenyewe
 
Mbona umetumia nguvu kubwa sana kuwasilisha hoja , na kwa vingine huwenda ni ww binafsi ulijiingiza kwnye Huduma hiyo pasi kua na Ufahamu .
Kwann usiwaconsult Direct Halotel kupitia Customer Care wao kwa kupiga No.100.(umesema hawaongei vizuri) sawa ..
Je kwann usiende kwnye Page yao Active ya FB.
Je, kwann kabla ya Povu kukutirika ikiwa ni kuonyesha umahiri wako wa kuzngumza Usingeenda Direct kwnye Ofisi zao.

Hakuna ulazima wa kuropoka kiasi hiki kwa vile tu ww ni mteja.
Natamani kungekua na Sheria zinazolinda makampuni juu ya walalamikaji wasio na tija na wenye lengo la kuporomosha Biashara ya kampuni husika .

Sijaona Busara yako.
 
Kama haikuhusu tuliza uzazi, hujui kaa utulize mshono, waje wenyewe niwaeleze.
 
Kama haikuhusu tuliza uzazi, hujui kaa utulize mshono, waje wenyewe niwaeleze.
Kwa namna ya uandishi wako wa mwanzoni kabisa kwnye malalamiko yako nilishindwa kutambua Jinsia yako , nikasema niwe mpole Utanijibu na Nitatambua ninjinsia gani baana ya kuongea mara ya pili.
Nimegundua ww ni Me but Mwnye Katibia cha Ke ndani yake .. Sorry but Tambua namna mtu anaandika kunaweza kumtambulisha Jinsia yake hata kabla ya mtu kumuona physical.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji122] naona umeedit/ au umesaidiwa na Moderetor.

Nashukuru kwa kuelewa ulichokiandika ni upuuzi.
Mwanaume kamili ni aibu kusema neno My #$@/@.
Shame on You Never repeat again tht word kama kweli ww Ni Rejali.
 
Oyaa kama nilichoandika hakikuhusu si utulie master kunaa mtu anakutekenya nn erooh
 
Oyaa kama nilichoandika hakikuhusu si utulie master kunaa mtu anakutekenya nn erooh
Utakapoacha Kunzungumza kama muhuni ndipo jamii ya watu Intellectuls kama Halotel wanaweza kukjibu hoja zako ..
Otherwise unaweza kuonekana hata hizo sms unaziona msimu baada ya kua umeshapata Steam za Bangi.
 
Nikukumbushe pia Mwanume hakereketwi
Mwanaume anapatwa na Changamoto.
Kukerea si neno sahihi saana kwako as Gentle .
"Halotel Mnanipa Changamoto Sms zenu. "
Not halotel mnanikera ..How ?
 
Mkuu hawa halotel ni wajinga sana hata.mimi kuna lihuduma lao wananikata kila nikiweka salio na nikipga customer care wanakata

HUU NAO NI MTANDAO UCHWARA
 
Mi mwenyewe kuna li robot call la voda kila asubuhi linanipigia..hivi kampuni za simu mnadhani simu zetu ni ubao wenu wa matangazo....najua mnaona tumekubali ku subscribe kwenye huduma zenu ndio maana..

why msifanye kama mail providers unachagua huduma ipi mf matangazo...mnaudhi[emoji35] imagine linakuja simu upo kikaoni unatoka kusikiliza kumbe ni upuuzi mtupu.
 
Hizo emoji za Kucheka Inaonyesha Hauna tatizo Ndugu mteja .
 
Habari, ahsante kwa kutoa malalamiko juu ya huduma ya halo Soka. Fahamu ya kuwa unapokea meseji kwakuwa ulijiunga na huduma na sasa unataka kujitoa ila hujui namna ya kujitoa. Ukitaka kujitoa na huduma ya Halo soka fanya yafuatayo kwa kutumia code za ligi zifuatazo:
C1: Champion League
C2: Europa League
PL: Premier League
LL: La Liga League
SL: Serie A League
BL: Bundesliga League

Pia katika code hizo za ligi kuna taarifa ulijiunga aidha NEWS, HOT, TIPS au LIVE
Sasa kama ulijiunga na ligi kuu ya uingereza upande wa habari mfano:Tuma OFF NEWS PL 15602.
Kama sijaeleweka naomba niulize nitakufahamisha Ndugu mteja
 
Mkuu hawa halotel ni wajinga sana hata.mimi kuna lihuduma lao wananikata kila nikiweka salio na nikipga customer care wanakata

HUU NAO NI MTANDAO UCHWARA
Ni huduma gani naomba kufahamu ili tukusaidie.
 
Labda simu yako tu hio mm mbona situmiwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…