NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 346
- 434
Pamoja na changamoto hiyo hapo juu lakini ulichosema ni sahihi.Hebu jifunze kwanza kuandika:
1. Tambua matumizi sahihi ya herufi kubwa na usichanganye na herufi ndogo kwenye sentensi.
2. Lai = Rai
3. Jambo ili = Jambo hili
4. Lidhaa = Ridhaa.
Unazan kuna mashindano ya kuandika hapa jf, au unajua wakati MTu anaandika unakuta Yuko Katika mood gan? Mkiisha ona ka dosari ndio inakuwa point kujitia big brainHebu jifunze kwanza kuandika:
1. Tambua matumizi sahihi ya herufi kubwa na usichanganye na herufi ndogo kwenye sentensi.
2. Lai = Rai
3. Jambo ili = Jambo hili
4. Lidhaa = Ridhaa.
Kiukweli mwanajamii wajiekebishePamoja na changamoto hiyo hapo juu lakini ulichosema ni sahihi.
Hao jamaa hawana adabu. Hata mimi Nabii wananitumia jumbe za kiganga. Leo wamenitumia ujumbe huu:
"Shemeji hii ndio namba ya yule mganga alienisaidia ana uwezo mkubwa sana wa kutoa mali bila kafara, kurudisha mke au mume PETE ya bahati na kutibu magonjwa yote. mpigie 0680261815"
Hiz ni kero ambazo tungependa watutatulieVodacom Tanzania nao wana huo undezi wa kuunganisha huduma bila ridhaa ya mteja.Nishalipoti mara kibao lakini nikikaa miezi miwili nakuta nishaunganishwa tena mara SOKA mara sijui madudu gani.Soon nitadeal nao vizuri
Mkuu,Habari ndugu wanajamvi.
nitoe pole pole za dhati kwa watanzania WOTE ,kutokana na msiba na janga La kuanguka kwa jengo La kariakoo.
Baada ya pole hiyo ,nipende kutoa malalamiko YANGU kwenda kwa mtandao WA laini za simu, kampuni ya HALOTEL.
Kampuni hii imeshindwa kulinda wateja wake kwa kuruhusu ,watu tusio watambua kututumia meseji za UGANGA,KUJIUNGA FREEMASON,TUMA NAMBA HII,KUUNGANISHWA NA HUDUMA biła ridhaa yetu,mfano-HALOSOKA,na sms zingine zinazoendana na hizo.
Jambo hili La kupokea jumbe za namna hiyo kupitia laini ya halotel,limekuwa mara kwa mara likijitokeza na kuwa kero kwa baadhi yetu.
HII ni tofauti na mitandao mingine ambayo meseji za namna hiyo ni agharabu kuziona ,
Natoa Lai kwa mtandao WA halotel ,kupambana kututatulia jambo Ili na kuzuia namba zetu kuweza kujulikana na watu hao wanaotutumia jumbe biła lidhaa yetu.
Asanteni
Halotel mi nimewahama kwa sababu nyingi.Nimekuja 5years ago juzi juzi ndo wameanza huu upuuzi nawazoom tu.Hiz ni kero ambazo tungependa watutatulie
kiukweli HALOTEL imekuwa kero kubwaNa hizi kataa rushwa wazuie
Kama hizi SMS za UGANGA aisee zinanipa hasira sanaHalotel mi nimewahama kwa sababu nyingi.Nimekuja 5years ago juzi juzi ndo wameanza huu upuuzi nawazoom tu.
🤣🤣🤣Au tuma kwa namba hii.Kama hizi SMS za UGANGA aisee zinanipa hasira sana
Wewe mpigie tu, halafu unamuomba akukopeshe hela utamrudishia mwisho wa mwezi. Ila ujiandae kwa matusi.Pamoja na changamoto hiyo hapo juu lakini ulichosema ni sahihi.
Hao jamaa hawana adabu. Hata mimi Nabii wananitumia jumbe za kiganga. Leo wamenitumia ujumbe huu:
"Shemeji hii ndio namba ya yule mganga alienisaidia ana uwezo mkubwa sana wa kutoa mali bila kafara, kurudisha mke au mume PETE ya bahati na kutibu magonjwa yote. mpigie 0680261815"