BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
disabled by authority other than HalotelNipo kwenye maandamano ya mei mosi Mbeya lkn kila nikiweka uzi wa matukio mtandao unazunguka tu hamna kitu.
Yani mmeboa sana mjipange kuna wenzenu wanakuja speed 120
Ni kweli maana toka mkuu atoke mambo safi.disabled by authority other than Halotel
si umeona eh!Ni kweli maana toka mkuu atoke mambo safi.
Kale ka gari ka machuma chuma kalikua kanafanya yake.Ni kweli maana toka mkuu atoke mambo safi.
Daaaaa mkuu kweli nilikaona hivi kanafanyaje kazi nipe kidogo ujuziKale ka gari ka machuma chuma kalikua kanafanya yake.
Kale kadude kametengenezwa maalumu kwa ajili ya kuminya mawasiliano ya aina yoyote ya mtandao.Daaaaa mkuu kweli nilikaona hivi kanafanyaje kazi nipe kidogo ujuzi
Daaaa kanachukua eneo gani au km za mraba ngapi au ni mji mzima.Kale kadude kametengenezwa maalumu kwa ajili ya kuminya mawasiliano ya aina yoyote ya mtandao.
Yaani kakisha tia timu kale kagari basi simu zote zinakua bubu hata blututh na infared hazifanyi kazi.
Mambo ya usalama hayo mkuu.
Nipo kwenye maandamano ya mei mosi Mbeya lkn kila nikiweka uzi wa matukio mtandao unazunguka tu hamna kitu.
Yani mmeboa sana mjipange kuna wenzenu wanakuja speed 120
Inategemea na ukubwa wa mtambo wanaotumia, mingine ina range mpaka mita za mraba laki moja.Daaaa kanachukua eneo gani au km za mraba ngapi au ni mji mzima.