Halotel kuna shida ya mtandao au???

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Wakuu naomba kuuliza. Tangu Jana usiku simu yangu iko slow Sana mpaka sahizi inaload kwa muda mrefu Sana. Tatizo ni Halotel au??
 
Me pia jaman alafu ukipiga huduma kwa wateja hawapokei
 
naona iko shida, maana internet inasoma H+ lakini ina load mda mrefu hata video na picha hazifunguki
Yani nimehangaika kubadilisha setting mpaka nimechoka kumbe tatizo liko kwao. Wameanza kulewa sifa za kijinga.
 
Walishalewa sifa hawa maana kama washindan wao wenyewe ni vd unategemea nini
Wamepata Wateja wengi wanaanza kuzingua dawa nikuwahama wabaki Kama tigo tu.
 
Kweli Halotel imepunguza kasi yake! Inakuwa inakuwa H+ lakini hakuna kitu! Waambieeni hao
 
Anaetaka line ya chuo ya halotel..
Unapata 10 gb dakika 1200 za halotel na 80 za mitandao yote mwezi mzima we youtobe unaogelea bila presha....nitafute private....popote ulipo utafanikiwa kuipata nusu saa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…