Halotel Kulikoni Jamani!

Mbona mm 1GB napiga wiki nzima hadi sasa niko naenjoy tu
 
HALOTEL VAS hili ni bandiko kama la kumi sasa mnatufikiriaje wateja wenu? mstufanyie hivo wanafunzi wa chuo jamani.
 
Mbona washashusha vifurushi sasa hivi 500 bundle ni Mb 350 zingine 200 eti za usiku halafu hazionekani.
 
Utakuwa una App inayokula data, kama Android yako ni modern kidogo chni ya settings-> data usage unaweza kuona App gani inatumia mtandao.
 
kwa wizi ni wezi kweli kifurushi kwenye line ya chuo kinawah kuisha
 
Hukujiunga bundle, ndio maana, ulikuwa unatumia internet bila kujiunga bundle
 
Ila mkoani wapo vzuri sana asee, wapunguze tu janjajanja wafanye kazi.
 

Nisemu tu kwamba mitandao yote ya simu ni mabazazi
 
ila kweli MB za halotel zinakwusha fasta kuliko kawaida
Shunie ebu njoo unambie kama ba wewe hazimwishi fasta
 
Hawa jamaa mimi niliweka laini yao pembeni mapema, baada ya kuona walichonihaidi sikipati..Bora hawa wa sikuzote kuli halotel ni ujanjaujanja
 
Labda kwa sababu mkurugenzi wao kakamatwa.
 
WINDOW 8 NA 10 hata uki-disable update bado haitaacha kufanya hivyo, angalia status ndio utapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…