Halotel Internet kupanda Gharama X 4.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,749
Reaction score
7,024
Pamoja na vifurushi Vingine,
Kifurushi cha strimika YouTube,
Walikuwa wanatoa mb 1200 kwa sh 500.
Natumia siku nzima bila kumaliza,
Lkn Ss kwa sh 500 wanatoa mb 600 ambazo hazimalizi hata saa1' ili zimalize siku nzima mpaka ununue mara 4 kw sh 2000.
Tunaenda wapi?
Kama ni serikal kuzidisha kodi, ijitathimin.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziltan huyo kwenye avatar ni wewe?
kinda beautiful....
 
Hueleweki, mb 1200 kwa siku ulikuwa umalizi ila mb 600 unamiliza kwa saa? Kingine cha kushangaza ni kuwa ili upate mb 1200 ulizokuwa unapata kwa sh 500 inabidi utumie 2000 na wakati awali ulikuwa unazipata kwa kwa sh 500! sijui mwalimu aliekufundisha hesabu akiona madudu haya atakufanyaje?
 
mkuu sio wote wamepitia shule,msamehe bure!
 
1) zamani MB 1200 kwa sh 500 zilikuwa zinamtosheleza kwa siku nzima.

2) kwa sasa bei imeongezeka 600MB kwa sh 500. MB hizi zingefaa azitumie kwa nusu siku kwa vile 1200MB zilikuwa siku nzima. Cha ajabu hata saa halijaisha zimeisha. Hivyo inambidi anunue vifurushi vinne kwa sh 2000 ili apate MB 2400 ndio awezetosheka siku nzima wakati zamani alitumia 500tsh MB 1200 tu.
Malalamiko yake hapo ni
1)kwanini bei ipande.
2) Anahisi kuibiwa MB kwa vile kwanini MB 1200 kwa sh 1000 kwa sasa hazimtoshelezi kama zamani?
 

Wewe ndiye hujamuelewa mleta mada, au hesabu zimekupiga chenga
 
Watumiaji tumemuelewa vzuri sana
 
Reactions: lnx
huna haja ya kulalamika..ukiona hawakufai tena hamaa..
hakuna anayelazmishwa..wewe huwezi wenzio wataweza..ni biashara huria hii sio ya kwajili yakumfurahisha kila mtu..
 
RMADHANI IMEISH
JIUNGE NA KIFURUSHI CHA WANAFUNZJ SHIDA NINI
 
wewe pia hujaelewa...mleta mada kajichanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli kwamba mleta hoja amejichanganya ni ukweli usiopingika kuwa halotel siku hizi wamepunguza vifurushi vya mb mfano kulikuwa na kifurushi cha 600mb kwa sh. 500 kwa wiki sasa hivi ni 450mb +100mb za usiku kwa sh. 500 na zinaweza kuisha ndani ya siku 3 kitu ambacho mwanzo haikuwa rahisi, sasa sijuwi ni kodi za serikali kweli au kampuni imeamuwa kuhujumu wateja baada ya kuwapata wa kutosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…