Inamaana line ya chuo na line ya kawaida zina speed tofauti kwenye internet??Unatumia line ya mwanachuo eeeegh
Unatumia line ya mwanachuo au ya kawaida??Mimi natumia tablet nilipata 600mb, nilinunua kifurushi Jana nikaangalia mpira fainal uef vizuri kabisa na asubuhi nikacheki move online ilikuwa poua sana, inawezekana simu ina vitu vingi
Unatumia line ya mwanachuo au ya kawaida??
Kwa Bahati mbaya sijapata majibu kwa wanaotumia hotspot kuunga Internet kwenye PC kwenye simu iko vizuri kabisa tatito ni hotspot niki connect wireless inazingua.